Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ebu mulize walifanya comparison nchi gani ya East Africa alafu wakapata hao wako na gari ngapi and number two had how many electric vehicles 😂😂.

Finally atuonyeshe hizo gari anazoongelea ziko wapi😂😂
Mwambie akupostie basi Moja electric inayofanya kazi hapo bongolala. Wanapenda kulia cooked data kumbe wao ndio Chefs.🤣🤣
 

Tanzania is blessed country,ndio maana biashara tunaimudu kitu hatuna matabaka mtanzania anasafiri kokote ndani ya TZ na aulizwi mambo ya ukabila,kigoma huko utamkuta mpemba na duka lake na hamna anaemjudge,kingine TZ ilichobarikiwa ni mazingira mazuri ya kiutalii,sie wenyewe utalii wa ndani tunaupenda so tunasafiri sana ndani ya nchi yetu
 
Mukuru slums are about to be forgotten. This Dec people will start moving into these new houses.
Screenshot_2024-10-09-06-00-39-81_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
Screenshot_2024-10-09-06-00-43-49_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
Screenshot_2024-10-09-06-00-46-98_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
 
Washapata Order nyingi kutoka watu watu wa utailii! Unless unataka kutuambia tour companies zenu wana hela kuliko wa Tanzania!
Of course our tour companies have more money than Tanzania's. I repeat. Zikinunuliwa more than 5 nahama Uzi.
 
Back
Top Bottom