Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

This is not electric vehicle😂😂🤣😂

Also remember I said ten, so far hakuna any electric vehicle mmetuonyesha😂😂
It has been converted into an electric vehicle and many of these kinds are increasingly being used by tour operators in Tanzania.
 
It has been converted into an electric vehicle and many of these kinds are increasingly being used by tour operators in Tanzania.
That’s not an electric vehicle acha kulazimisha maneno. Wewe ushaiona electric vehicle with an engine?Cause obviously hiyo gari umepost has engine😂😂😂
 
Hii ndio picha za hizo Electric vehicles?😂😂😂

Just post a picture, not stories😂😂

Kenya electric bikes built right here in Kenya by Roam. Wakati nyinyi mnasumbuka kutafuta hata kapicha kamoja, mimi naezaweka thousands in seconds😂😂

View attachment 3120069

View: https://x.com/roamelectric/status/1830878470722724045

download-1.jpeg

images.jpeg
 
Umekaa unaandika hapa JF kila siku, nani anamfuatilia mwenzake?🙂
JF is just like Twittter and FB. JF sio nchi, nyinyi on the other hand mnafuatilia vitu vinafanyika Kenya kweli kweli, unajua MCA wote wa Kenya wakati mimi hata sijui deputy President wa Tanzania 😂😂.

Kwanza wakenya wengi hata hawajui President wa Tanzania ni Nani😂😂
 
JF is just like Twittter and FB. JF sio nchi, nyinyi on the other hand mnafuatilia vitu vinafanyika Kenya kweli kweli, unajua MCA wote wa Kenya wakati mimi hata sijui deputy President wa Tanzania 😂😂
Nyang'au kwisha kazi yenyu😎
 
Back
Top Bottom