Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Alafu source ni chanzo.com.🤣🤣🤣
Ebu mulize walifanya comparison nchi gani ya East Africa alafu wakapata hao wako na gari ngapi and number two had how many electric vehicles 😂😂.

Finally atuonyeshe hizo gari anazoongelea ziko wapi😂😂
 
Wacha nikifika kwenye laptop nitakuprove wrong. Alafu ukumbuke Dar ni coastal city. CBD ipo pembeni mwa jiji. Nairobi ni inland city, CBD ipo katikati mwa jiji. Ukipima distance from CBD Nairobi Hadi mwisho wa built up area, hiyo ni nusu ya length ya jiji. Ukipima distance ya Dar from CBD Hadi mwisho wa built up area, hiyo ni total length ya jiji. Tafakari hilo.
Tunapo zungumzia eneo la mji hatuhusishi eneo la bahari ni nchi kavu tu.Hapo tunatafakari nn
 
ndio maana politicians watabakia kua matajiri mpaka kufa na nyinyi mutabaki kua maskini mpaka kufa 😂😂😂😂
Sasa umekasirika sababu nimekuambia watanzania wafuatilia Kenya sana? Kwanza wewe ndio huwa unafuatilia Kenya kuliko wote.

By the way, ebu nionyeshe politician wa Bongo mwenye ni maskini😂😂🤣😂
 
Alafu source ni chanzo.com.🤣🤣🤣
Yeah chanzo foshoo

Screenshot_20241009-161144.jpg
 
Mchezaji wao wanamchora mpaka kwenye magari lkn Yanga anakaa benchi na mechi kibao haingii, football nation 🇹🇿 🇹🇿 🔥 🔥
1728475671555.jpeg
1728475807363.jpeg
Screenshot_20241009-161429~2.png
 

Attachments

  • 1728475671555.jpeg
    1728475671555.jpeg
    586.5 KB · Views: 6
  • 1728475807363.jpeg
    1728475807363.jpeg
    760.4 KB · Views: 7
Mchezaji wao wanamchora mpaka kwenye magari lkn Yanga anakaa benchi na mechi kibao haingii, football nation 🇹🇿 🇹🇿 🔥 🔥
View attachment 3119926View attachment 3119927View attachment 3119928
Uko na akili za ujinga na uwatchman kweli kweli, so huyo pekee ndio Abuya Kenya?😂😂🤣😂

For your information hiyo Abuya bus company ilianzishwa in the 1990’s and it has been there throughout. But you are stupid and foolish, you only know of one Abuya from Kenya😂😂
 
Back
Top Bottom