Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Copycats πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
People who can't invent something of their own
 
Wanawake wa Kenya wanapenda kweli kutoka na wanaume wa Tanzania, wanasema ma handsome alafu wasafi na shughuli wanaijua, wanasema hawapendi wakenya wenzao wengi magovi🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Yes viwanja vipo vingi sn in Dar, huu mji ni mkubwa sn zaidi ya unavyouona kwenye ramani, alafu pia sisi watanzania ni wachache sn ukilinganisha na ukubwa wa nchi yetu, nyie mpo wengi kama panya ndani ya kanchi kadogo lazima mjaze Nairobi nzima with ma slums everywhere.
 
Thika ipo Kiambu siyo Nairobi. Acha kutudanganya. Mbona sisi hatuongelei Bagamyo ambayo ipo pwani? 90km from City Center

View attachment 3115308
Bongolala, you said I mention anywhere 42kms away from city center we cpare with Mvuti and I picked on Thika.

Mvuti ipo Dar 42kms away from city center na ni misitu na mashamba ya mihogo. Thika ipo 50 kms away from city center and is developed all the way.

Kama uwepo wa Mvuti ndani ya mipaka ya Dar ingekuwa na umuhimu wowote, Wala haingekuwa misitu.

On the other hand, Thika is slightly outside Nairobi boundaries (but almost the same distance as Mvuti from cbd) but is way better and developed than Mvuti. Sasa uwepo wa Mvuti ndani ya ukubwa wa Dar inaisaidiaje?
 
Kwahiyo umeamua kuacha kulinganisha Nairobi na Dar tena? Wewe si umeleta Mvuti au ni mwingine?
You are giving us the proof that Nairobi is very small. So ndon't compare the size of Might Dar es salaam with the tiny Nairobi (Which contains Slums)
 
Ukubwa wa Dar ingekuwa tu ya maana ikiwa kila eneo ingekuwa developed. Cha ajabu ni kwamba unajivunia ukubwa ambao Kwa uhalisia hauna umuhimu wowote Kwa sababh hizo vichaka za Chanika, Mvuti na maeneo mengine mengi hayachangii ukuwaji wa Dar kivyovyote. Mimi Huwa nacheka tu kila mnapotaja ukubwa wa Dar wakati huo ukubwa sehemu kubwa ni uswazi na vichaka
 
What is the meaning of development in a Kenyan point of viewe?
 
20km from CBD are you serious?
 
Kwahiyo umeamua kuacha kulinganisha Nairobi na Dar tena? Wewe si umeleta Mvuti au ni mwingine?
You are giving us the proof that Nairobi is very small. So ndon't compare the size of Might Dar es salaam with the tiny Nairobi (Which contains Slums)
Nairobi is small geographically yes. Dar is big geographjcally yes but kuna vichaka na mashamba ya mihogo ndani. Sasa huo ukubwa una umuhimu gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…