Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

GDP ngapi
 
Ni kweli hatutoweza kufikia kiasi cha njaa, rushwa, ukabila, insecurity, na umasikini wenu, kwasababu trend inaonyesha umasikini Tanzania unazidi kupungua wakati Kenya unaxidi kuongezeka
Nyie mnakimba opepo....ligi yenu ni Malawi burudi
 
Naona vijana mmewakamata majirani vema kwenye maungio ya miguu ya suruali.

Kazi njema kabisa.

Kuna yule mchina ngoja aje atuletee ya Kinya...(I Am Lee) wazee wa korapushoni
 
Unajichaganya ndungu hauna chore ni ubishi 2
Wewe uliomba ushahidi wa njaa Kenya nikakuletea, nini zaidi unahitaji?, sema tu utapata usiwe na shaka, sisi ni majirani haina maana kunyimana[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Kenyans are very stupid,
Unakuta jitu halijala siku ya pili Lakini limekomaza Sura Linazungumza Kingereza utadhani limezaliwa Nottingham.
When one is well conversant in the Queens language, can express himself confidently anywhere and with anyone in the world. ******** lacks those qualities and so are most Tanzanians...The only forums they can venture freely is JF and wouldn't dare Nairaland, Skyscraper or even JamiiForums.com.

Punguza hasira na wivu rudi darasani.
 
Huna exposure. Na bado unamawazo ya kitumwa. Nenda china, russia, German nk kama utaona upumbavu wa namna hiyo. Watu wanatunza tamaduni zao.
 

mtumwa wa kiakili...[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wewe uliomba ushahidi wa njaa Kenya nikakuletea, nini zaidi unahitaji?, sema tu utapata usiwe na shaka, sisi ni majirani haina maana kunyimana[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Unaleta iliyopita[emoji107] [emoji107] [emoji107] c n kuji fixed mnajifixed na muliisoma kwa news paper za kenya[emoji117] [emoji117] [emoji117] usenge 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…