Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii ingekuwa ni kundustan, haki ya mama Bushman angetuua humu, imagine AVA jua kali garage tu anasumbua, je ingekuwa kutengeneza ndege je kama Tanzania!!?๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Sisi tunatengeneza high tech things siku hizi huko kwenye makarabai tumeshatoka huko ๐Ÿ˜
Watu tunatengeneza ndege yeye bado anajitapa kwa vitu ambavyo hata Burundi na Somalia wanaweza kuunga, tumewaacha mbali sanaaaaa ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Huelewi chochote kuhusu road classification. Wacha nikuache.๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
 
Huelewi chochote kuhusu road classification. Wacha nikuache.๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
Barabara inayoenda kwenye international boarder inakosaje classification? Mpo hovyo kweli, mmekaa kupika data tu ndio kitu serikali yenu inajua na ufisadi, fake data zinaonesha mna barabara nyingi mara 3 ya Tanzania yet nchi yenu ni nusu ya Tanzania na bado hamna barabara ya maana towards boarder posts zenu almost zote, hizo barabara ni za ndege hewani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ