Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Na hapa ni wapi kijana?

Unaikumbuka hii ndiyo Mboya uliyodownload ukijifanya Umefika Sijui Mpakani Mara moshi. Wakati ni kijiji huko Tabora
View attachment 3113149
Bro, hapo ni Moshi na nimeipiga picha mwenyewe. Hapo pembeni kulia ni gari langu nililokuja nalo. Yani nyinyi ni mazuzu kweli. Hamjaitembea nchi yenu mimi mgeni nawaonyesha ilivyo. 😂 😂 😂

Yani hivi kulingana na akili zako jina linalofaa kuandikwa Moshi ni Moshi tu? Kwa hivo ile guesthouse ya Isiolo Motel haipo Moshi, ipo Isiolo? Yani huna akili kabisa, ni kama unafikiria kwa makalio.😂😂😂

Hiyo ni Mboya Petrol station iliyo Moshi. Haimaanishi hapo ni Mboya wee boya.

Proof hii hapa - na mtembee nchi yenu mpo humu mnabishana kila siku wakati hata nchi yenu yenyewe hamuijui. Mnajua tu Dar na vijijini mlimotoka. 😂 😂 😂
 
Wewe ni Clemence Benard Kipande?
 
Kwahiyo mnaingia Tanzania kwa njia za Panya? Hii inathibitisha maisha duni ya wakenya. Hakuna Mtanzania wa kwenda Kenya kinyemela
 
Mbona maelezo mengi wakati video inajieleza 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Endelea kujifurahisha,border zote upande wa ukunyan ni takataka,kule taveta most of kunyan matibabu,chakula yan mahitaji mengi ya kibinadamu wanayapata holili upande wa TZ,kama hapo rongai ukunyan ni vumbi tupu halafu unadai ni pori
Yani sisi tunaona vumbi yeye anasema pori wakati video inajieleza 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Hi tech manufacturing. Fundi Majiko ya mkaa na sufuria tumeachia english speakers 🤣🤣🤣🤣
Fundi gonga nyundo anabweka kweli wakati anatumia nguvu zaidi ya akili 😂😂😂 kitu ambacho hata Kichaa anakiweza ndio maana kila siku kubwata eti mabasi, wafike huku tuwaone sasa, hapo hapo safari SUVs zao zote zinatoka Tanzania 😂😂
 
Wewe huna akili, Yves kapita kwenye pori na national parks mpaka akavaa net zaidi ya wiki hakuna makazi kabisa analala kwenye tents na barabara yote ipo under construction, af unaongea kitu gani hapa?

Hamna makazi haya ni nini?
 
Wengi wanaotumia hiyo njia ni Watanzania wanaotafuta vibarua upande wa Kenya maanake wages za Kenya ziko juu ya za Tanzania.
Duh huyu bwege kweli jeuri, licha ya shida zote, njaa na umaskini walio nao kwa sasa bado anajipiga kifua kwamba watanzania ndiyo wanaenda Kenya, licha ya mkenya mwenzake kwenye video kuweka wazi kwamba huwa wanavuka illegally kuja Tz lkn msenge bado anakanusha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…