Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unataka kusema umekuwa kipofu? Kwamba huoni Posta kwenye hiyo picha niliyopost?
tazama hata visibility ni mbingu na ardhi nairobi ni ndogo sana buda tena ndogo sana kwa dar chukua nairobi tatu na chenchi inabaki πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
kama ya kawaida tuoneshe baiskeli unayomiliki wewe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…