Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Uongooooo hii ni data ya 2019 census, ebu tuambie hao 3 million wanaishi wapi?

View attachment 3110272
Nairobi's 2024 population is now estimated at 5,541,172. In 1950, the population of Nairobi was 137,456. Nairobi has grown by 216,012 in the last year, which represents a 4.06% annual change.These population estimates and projections come from the latest revision of the UN World Urbanization Prospects. These estimates represent the Urban agglomeration of Nairobi, which typically includes Nairobi's population in addition to adjacent suburban areas.

Haya hiyo hapo
 
Sasa unataka kulia ju ya hii. 🀣 🀣 🀣
Hizi picha zimekua zikipostiwa humu ni mwaka sasa, lakini kijamaa kwa uoga kimeendelea kupost picha ya kitambo na kuzusha eti kuna gorofa tano kando ya barabara πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hii ni hate au ni uoga.? πŸ‘‡Eneo lenyewe hili hapa πŸ‘‡πŸΎwewe mtu mzima mpumbavu nairobae hapo unaona gorofa tano.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kwanini unaendelea kupost picha za zamani.? Unaogopa nini.?
 
CBD ya ghorofa tano kando ya barabara. 🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…