USA debt to GDP is 123%Ok twende kwenye reality tuanze kwenye GDP.
What is ratio of your GDP to public debt and how much surplus do you after a deduction of your public debt as compare Tanzania,
Unataka kutuambia una mauzo ya 100bil ila kati ya hizo unatumia asilimia 70 kulipa deni na kubaki na akiba ya 30bil halafu mwenzako anamauzo ya 70bil ila ana deni la asilimia 30 . Huyu akiuza baada ya kulipa deni anabaki na surplus ya 69. Hapo nani anaweza fanya matanuzi au nani atakuwa na maendeleo. Letsay Kuna nyumban inauzwa bil 50, nani atakuwa na uwezo wa kununua hiyo nyumban?
Iβm here to educate Mr. Quack.Kama hujui uwe unakaa kimya.
Hakuna kitu inawauma kama kuambiwa ati Magufuli alipelekwa Nairobi Hospital ππ.Mnasema hearsay Na tulipowaambia amekufa kutoka kwa the same sources mlipinga. Haya, ako Hai?π€£π€£π€£
Nilitaka kucomment kuhusu kazi ya ziada aliyofanya Photographer post processing, at least zile pisi zitokelezee lakini kagundua sio kosa lake π . Nikaamua nikae kimya. πCurrent Jersey za Gor Mahia ni hizi hapa toa uchafu huo na kama hutaki andamana lkn mtanzania keshakula pesa karudisha nyumbani πππ€£π€£π€£π€£View attachment 3108344View attachment 3108345View attachment 3108346View attachment 3108347
We nishakupuuza tayari endelea na uzwazwa wako.Iβm here to educate Mr. Quack.
Ulianza kunipuuza last year bado huwa unanipuuza tuπππ€£.We nishakupuuza tayari endelea na uzwazwa wako.
Kwani Ngowi ni designer au wamempa na kitengo cha sales kabisa π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£sijui habari wanayo kweli dunia imegeuka sasa πππππ
View: https://x.com/sheriangowi/status/1839523615278068067?s=46
Where did you get this info??We had the cure for the complications that were rising as a result of Covid infections. Magufuli was admitted in Nairobi Hospital due to those complications. Covid was like a flu, after sometimes it could disappear so it was just a matter of managing the symptoms before it could disappear cause majority of the fatality was a result of these underlying diseases.
kumbe we zumbukuku eti tanzania iliomba pesa toka kenya.USA debt to GDP is 123%
Japan Debt to GDP is 263%
UK debt to GDP is 100%
Italy debt to GDP is 140%
So according to your stupid reasoning Tanzania imeshinda all those countries? Remember Tanzanian government borrowed some of SGR money from Kenyaππ
Everybody knows that Magufuli was admitted in Nairobi Hospital. Hata nyinyi watanzania mnajua hivo hata kama hamtaki kukubaliππWhere did you get this info??
Newspaper. π
When have you ever heard of capitalist speaks highly of a socialist country?This guy once said that Dar is slum is like a village to Nairobiππ
View: https://x.com/UlrichJvV/status/1838972916534317165
unajua tofaut ya japan USA na kenyaUSA debt to GDP is 123%
Japan Debt to GDP is 263%
UK debt to GDP is 100%
Italy debt to GDP is 140%
So according to your stupid reasoning Tanzania imeshinda all those countries? Remember Tanzanian government borrowed some of SGR money from Kenyaππ
Nenda ukapige kelele mbaliππππkumbe we zumbukuku eti tanzania iliomba pesa toka kenya.
can you prove that.
But Kenya sio LDC kama Tanzaniaπππunajua tofaut ya japan USA na kenya
USA is a developed country
japan is a developed country
kenya is a developing and third world country
wale wenzako madeni yao ni kama wanajikopesha wenyewe tu, wenzio sasa hvi wanawaza kwenda kuishi mars, hawaongelei chakula wala barabara
kenya ni nchi ambayo mpaka leo bado ina njaaa kila mwaka, na yet kila leo USA na japan inawapa misaada ww hushangai tu ππππ
Mkiambiwa ukweli mnasema ni chuki. Mko na nini ya kuchukiwa? Ama umaskini?πππππWhen have you ever heard of capitalist speaks highly of a socialist country?
Wanasifia makapitalist wenzao mdio maana hata swala la njaa Kenya huweai liona CNN. Chuki yao inakuja wanapofika Tanzania umiliki wa ardhi hakuna na sheria za uwekezaji holela ni tight.