Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Minerals that pass through here aren’t even 0.0000001% of total minerals being mined in Tanzania. Tanzania mining industry is held by foreigners and that’s why Tanzania has the most poor people in East Africa despite having the most natural resources after DRC.
 
Basi mbona wasitengeneze?
Kutengeneza kwa mara moja ama kwa wiki ama kwa mwezi!??
Mie nina wachimbaji wadogo nawafahamu per month pale Morogoro wanasafirisha hadi 8 kilograms of Gold tena ni 18 carat ambayo one kilogram ni $180k-200.
Je huyo gambler per month anao uwezo wa kushinda hiyo jackpot kwa usawia huo consistently!?
 
Ifike mahali Yanga na Simba ziwe timu za East Africa yote matawi yafunguliwe kila mahali East Africa 😁
 
Msamehe bure haijui Tanzania mining industry vizuri yeye ana compare na ya kwao😁
 
Uchumi uko led na private sector wewe ulitaka Serikali ndio ifabye biashara? Na private sector inajumuisha foreigners na locals shida iko wapi hapo. Mbona nyie GTC, expressway na estates nyingi ni foreigners? Investment haichagui utaifa wa mwkezaji.
 
Somo gani? Utapeana somo kwa kitu hujui? Hujui chassis ni nini, kusomesha mtu ndio utajua?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚.

We assemble chassis in Kenya whether you like it or notπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£.
Oh you assemble only I thought you make chassis in Kenya 🀣🀣🀣
 
Alipiga hela ndefu zaidi ya hiyo $400k ilirange kwenye 12bn shilings kama usd 7m wakati huo
 
Uchumi uko led na private sector wewe ulitaka Serikali ndio ifabye biashara? Na private sector inajumuisha foreigners na locals shida iko wapi hapo. Mbona nyie GTC, expressway na estates nyingi ni foreigners? Investment haichagui utaifa wa mwkezaji.
Ebu tutajie hizo estate mingi za foreignersπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚.

Zikifika 10 nahama JFπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Estates karibu zote zenye you brag with, ni foreign investment. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ebu taja jina ya hizo estates. β€œEstates karibu zote” is not a name bwana baboon. Ama hata meaning of an estate hujui?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…