concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,994
- 15,449
Ratiba Iko hiviDar Dom train moja inatoka Dar Asubuhi na nyingine inatoka Dom asubuhi hizo ni treni 2. Zikifika Dar na Dom zinageuka asubuhi kufanya idafi ya treni 4. Jioni the same one from each end zinatoka na kurudi 4 trains jumla 8 train per day Dar Dom.
Hizo picha zote wazoleta ni kuanzia 2021 kurudi nyuma, kwa Sasa hakuna shule ambayo utakuta mtu anasomeq nje la sivyo mkurugenz anakuwa hakitaki kibaruaUnless dogo unacopy na kutupia humu. Ikiwa hiyo 2023 iko hivyo hii ya 2018 ni ipi?
Very true. Endelea kuwapiga vibare 🤣🤣Now you know why they don’t want me here. I don’t give them a rest😂😂🤣😂
Bro, local gold miners don't study geology. Most of them are illiterate. Which planet do you idiots live on?🤣 These are your typical local gold miners. Do they look like graduates to you?So do you want to tell us that the study of geology ni sawaswa na shule ya kusomea luck sio?
Ubaya ubwelaaa in kihaya lafudhi 🤣🤣🤣
Umeonyeshwa shule ya msingi wewe unatuonyesha secondary school. Umefinywa huna pakutorokea. 🤣 🤣 🤣
2021 you say 🤣🤣🤣 Hauna hata aibu.Hizo picha zote wazoleta ni kuanzia 2021 kurudi nyuma, kwa Sasa hakuna shule ambayo utakuta mtu anasomeq nje la sivyo mkurugenz anakuwa hakitaki kibarua
Huyo aliyepata hiyo hela umesikia anamiliki mpaka mtambo wa kuchenjua gold unafikiri ni hohehae huyo?Bro, local gold miners don't study geology. Most of them are illiterate. Which planet do you idiots live on?🤣 These are your typical local gold miners. Do they look like graduates to you?
View attachment 3103749
hiyo shule haitumiki hapo wanafunzi walihamishiwa shuke nyingine ya jirani na mpaka unaiona hapo ilikuwa ni audit query kwani haijarekebishwa
Nni cha kurekebishwa hapo? Hapo hakuna shule. 🤣 🤣 🤣hiyo shule haitumiki hapo wanafunzi walihamishiwa shuke nyingine ya jirani na mpaka unaiona hapo ilikuwa ni audit query kwani haijarekebishwa
Sasa akishaangukia pesa atabakije hohehahe? The point is, there's nothing genius about what he did and definitely nothing that proves you have a well functioning country. It's sheer luck that can happen to any lowlife in any shithole of a country.Huyo aliyepata hiyo hela umesikia anamiliki mpaka mtambo wa kuchenjua gold unafikiri ni hohehae huyo?
Vipi leo umechamba?Sasa akishaangukia pesa atabakije hohehahe? The point is, there's nothing genius about what he did and definitely nothing that proves you have a well functioning country. It's sheer luck that can happen to any lowlife in any shithole of a country.