Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hata mtoto wangu mdogo wa nursery anaweza design chapisho hilo.

But kwa sasa tunaongelea hiki 👇 👇 👇 👇 🤣 🤣 🤣

View attachment 3103521
Wakati real countries are celebrating winning world and continental trophies nyinyi mnashangilia kuingia group stage😂😂🤣

1727024396418.jpeg
 
Watanzania wote ni wajinga. Wakati nchi zingine are happy about winning trophies hao wanafurahia to be in group stage of unknown tournament 😂😂🤣😂

View attachment 3103540
Sungura akikosa bhana. Utaskia “sizitaki mbichi hizi” maneno ya mkosaji 😂😂😂Girl Maria Kato….bwa 6-0 home and away

Unaleta michezo yenye no country in Africa inawekeza huko. 😂😂😂 ukishindwa battle kuwa na kawaida ya kutuliza kijambio
 
Sibishani na mental anayeendelea na dozi ya methadone toka mathare mental hosp akiwa kwenye banda la mabati baada ya kupata discharge kutoka hospitalView attachment 3103483
Mwambie dada wa kikenya anaileta mwenyewe kisa kuja kushangaa shangaa electric train, BRT, modern City (Dodoma), big, clean and neat roads, modern airports, biggest football clubs na chakula kitamu cha kitanzania kwanini wasijipendekeze kwa watanzania kwa gear ya kusifia sifia Tanzania kila siku mitandaoni 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Sungura akikosa bhana. Utaskia “sizitaki mbichi hizi” maneno ya mkosaji 😂😂😂Girl Maria Kato….bwa 6-0 home and away

Unaleta michezo yenye no country in Africa inawekeza huko. 😂😂😂 ukishindwa battle kuwa na kawaida ya kutuliza kijambio
Show me any continental trophy a Tanzanian team has ever won. Niko pale nangoja

Ati no country in Africa is investing in Rugby? Is South Africa not in Africa? What about Namibia and Zimbabwe? Ama hizo pia ni nchi za Europe?
 
Hawaamini, wanasema cooked. Lakini ikiwa in their favor wataiongelea for the next 20 years.🤣🤣
When Frank Knight placed them ahead of Kenya walifurahi sana and when now Kenya turned the tables wanasema ati ni cooked. Alafu wenye wanasema ni cooked data remember they are housed by women juu hawana uwezo of maintaining themselves.
 
Back
Top Bottom