Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huna chochote. Nimekutaka unipatie list ya wakenya waliofanya na wanaofanya UN umebaki kulia lia. Tanzani is very powerfull tukija kwenye International Affairs.
Fanya research yako vizuri. Jioni tukutane hapa. Kwa sasa nina multi-task kazi zingine
 
Kwani ni babako
 
Pro Ibrahim Lipumba
-Senior Research Fellow at the World Institute for Development Economics Research, UNU/WIDER, Finland.
-Senior Research Fellow, World Institute of Development Economics Research, United Nations University, Helsinki, Finland.
-Consultant of Ministry of Foreign Affairs Finland
 
Fanya research yako vizuri. Jioni tukutane hapa. Kwa sasa nina multi-task kazi zingine
Huwezi chochote. Mimi nipo na information zote unazozitaka.
Wewe ndiye unatakiwa ufanye research siyo kukurupuka tu. Hizo ndizo outputs za Tanzania Education.
 
ujue wakenya ni makatuni sana...wanafikiri hii ni tz ya miaka ile....kama tunawazidi vitu muhimu nawasiwasi na elimu ya kenya watakuwa wanasomea course za kipuuzi sana kwenye vyuo vyao kama urembo na uchoraji
Ushawahi waona wanafunzi wangapi wa Kenya wakizisomea shule zenu za msingi, za upili na pia chuo kikuu? Na ni watanzania wangapi waliopo Kenya for KENYAN education??.
 
Ushawahi waona wanafunzi wangapi wa Kenya wakizisomea shule zenu za msingi, za upili na pia chuo kikuu? Na ni watanzania wangapi waliopo Kenya for KENYAN education??.
Wakenya wapo wengi sana wanasoma Tanzania. Halafu upili ndio jitu gani hilo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…