Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kila kitu naona kipo sawa isipokuwa joka tu, hapo linaonekana linapita chini ila uhalisia linapita juu.
 
Hizo G7 zikija mtasumbua sana majirani. Sijui kama watalala kwa kelele zenu.

Yaani unashuka kwenye EMU unadandia G7. Halafu kituo cha BRT pale Tanzanite station kina shape ya EMU.
Miaka miwili nyuma wakenya wakiongozwa na Bushman chuchunge walikuwa wanapiga picha hilo eneo lenye BRT EMU like station wakisema nyuma ya CBD kuna tope, tukawa tunawaambia hapo inapita BRT na siku hazigandi, leo wanajionea wenyewe wakenya wenzao wanavyogombania kupiga picha eneo hilo ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Boss hii itabidi ufute wakundustan wanaweza fanyia kazi za mikono aka kunyonga ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ