Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Brain ya Tanzanians resolves around food. No wonder mtu akianza kuongelea pesa na investments wanalia, wanakasirika na kujaza kukuita majina πŸ˜‚πŸ˜‚
The concept of money doesn't exist in their brains.🀣
 
Si ulizema that Plate number ni for Transit kwenda nchi jirani au sio wewe?
It is for transit from the port (or assembly (to any destination before the owner gets the official plate. You either get those plates or you put in on a car carrier. If you want to drive your unregistered car on Kenyan roads, it must have those temporary plates irrespective of the destination.
 
Kati ya mwenye 30k posts na 18k posts ni nani anayeshinda humu? Hunanga akili.

View attachment 3101074View attachment 3101075
Hii Mada hainihusu lakini kimsingi mwenye 18k post ni dhahiri anashinda humu,

Huyo bush boy amejiunga humu march 2021 na ana post 18k hii ni ndani ya miaka minne while mwenetu wa kibongo bwana Magonjwa Mtambuka amejiunga humu mwaka 2016 na ana post 30k, hiki ni kipindi cha miaka 8.

Kimsingi nduguyo Hana shughuli ya kufanya ni kuzurura tu humu JF then ikifika jioni afate matatu arejee kwene kibanda alichopanga akajifiche angoje kukuche. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Atasemaje ni spelling error wakat amerudia kuandika hvyo karibu mara tatu?🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…