That’s an integrated bus park, najua unatamani isikuwe bus park lakini sasa you have no choice but to accept and move on. Unauliza penye passengers wanakalia, Kwani hizo buildings unaona hapo sio waiting lounge?😂😂🤣Passengers wanakaa wapi hapo na bus slots ziko wapi au unafikiri sisi hatujui how a bus park looks like?
Hiyo ni business Park Nyeri tunaijua watu wanakaa kwenye converted silos huko kote tumeshachafua Embu,, Nyandarua county, Nyaruhuru, kiganjo, Nyeri, Isiolo, meru etc
Hutudanganyi kitu huko.
Kwahiyo umekubali huu mjadala wa coal tunaufunga sasa😁Yet Tanzania still record trade deficit against Kenya. For your information, you give coal we give you the end product which is thrice as expensive as the raw materials 😂😂🤣😂.
Yani Huoni hata aibu mnatumia raw materials while sisi tunawauzia end product at a costly price?😂😂🤣
Ni River Road...mabasi yanapark popote tu...no order...huyu mtanzania kaleta Bus zuri lakini check anapopark sasaSo Nairobi haina a point where bus route starts and end? Where vehicles turn, stop or reverse? Or where passengers board and alight from vehicles?😂😂😂🤣😂.
Wewe ni kichaa Nenda ukaangaliwe akili😂😂🤣😂
Halafu huwa pachafu sana pale mabasi yanapopakilia na kushusha Naipori cbd.Ni River Road...mabasi yanapark popote tu...no order...huyu mtanzania kaleta Bus zuri lakini check anapopark sasa
...imagine from Mugufuli Bus Terminal to this kichochoro
View attachment 3094912
River Road kila bus company has their own office. Huyo kama Hana ofisi ni shauri yake. Alafu Tangu lini Chinese bus ikawa a beautiful bus?😂😂🤣Ni River Road...mabasi yanapark popote tu...no order...huyu mtanzania kaleta Bus zuri lakini check anapopark sasa
...imagine from Mugufuli Bus Terminal to this kichochoro
View attachment 3094912
We mpumbavu kuna kitu kinaitwa comparative advantage kwa nchi zinazofanya biashara between themselvesSo unataka kulinganisha Tanzania na USA and Russia? This same Tanzania that hata Burundi is more developed kuliko?😂😂🤣😂
Unajua Waiting lounge wewe kweli? Hivyo viduka vya 3×3 ndio unaita Waiting loungeThat’s an integrated bus park, najua unatamani isikuwe bus park lakini sasa you have no choice but to accept and move on. Unauliza penye passengers wanakalia, Kwani hizo buildings unaona hapo sio waiting lounge?😂😂🤣
Kwanza tumuoneshe waiting lounge za mabasi ya bongoUnajua Waiting lounge wewe kweli? Hivyo viduka vya 3×3 ndio unaita Waiting lounge
Wewe ndio hujui waiting lounge.Unajua Waiting lounge wewe kweli? Hivyo viduka vya 3×3 ndio unaita Waiting lounge
Huyu muzee asipoangalia ataangukia pua na kampeni inakula pesa nyingi za wafuja jasho wa madeni 🤣🤣
hawezi kupita bro africa haiitambui kenya kqma rafiki wa kweli na wakudumu kwasababu hakuna nchi yoyote africa ilipata msaada wa utu kutoka kenya wakat wa uhuru 😂😂Huyu muzee asipoangalia ataangukia pua na kampeni inakula pesa nyingi za wafuja jasho wa madeni 🤣🤣
Kama namuona Sepenga🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Yaani nilikua hapo Opposite😂 Render kali sana Mkuu kwa eneo hilo.Nimepita hapa kariakoo mtaa wa uhuru adjacent na Tatal nineona ITEL East African wanajenga ghorofa lao
Tunaomba tuone render mkuuYaani nilikua hapo Opposite😂 Render kali sana Mkuu kwa eneo hilo.
Hawezi kushinda hata kwa makofi, top five tu hawezi ingia. Kenya haijulikani Africa, Samia aliwaongopea tunawaunga mkono kumbe si kweli 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Huyu muzee asipoangalia ataangukia pua na kampeni inakula pesa nyingi za wafuja jasho wa madeni 🤣🤣