Kwanini unapenda kuvaa makoti ya mitumba meusi?Buy Kenya Build Kenya. Thank you Chakaby for promoting Kenyan productsππππ
View attachment 3094521
Wewe Ukipata penye Tanzania had a surplus against Kenya apart from 2021 tuonyeshe.tunaomba za kuanzia 2019-2024
Hapo sio umafia,kijiografia inatubeba sana,sema tu hapo nyuma tulikosa ubunifu na watanzania wachache wasio wazalendo walitumika kusabotage viwanda na bandari kwa maslahi yao binafsiwamekalia magorofa wakijua ndo maendeleo huku wakijisahau kuwa tanzania ishawafanyia umafia watakuja shtuka wamepoteza nda hilo soko la uganda.
Tanzania kwa sasa hatushindani na kenya. Take it from meWewe Ukipata penye Tanzania had a surplus against Kenya apart from 2021 tuonyeshe.
Been there?Arusha ni mahoteli tu, CBD and residential area ni trash.
wala hatuna shida ukipromote. ndio mlikuwa developed lakini sasa hivi mmestack na kama unabisha ebu jaribu kufuatilia strategic invesstments zinazofanywa tanzania uone kama bado mtakuwa na hilo soko east africaBuy Kenya Build Kenya. Thank you Chakaby for promoting Kenyan productsππππ
View attachment 3094521
na umafia unavhezwa kumbuka jinsi tulivyopata bomba la UGANDAHapo sio umafia,kijiografia inatubeba sana,sema tu hapo nyuma tulikosa ubunifu na watanzania wachache wasio wazalendo walitumika kusabotage viwanda na bandari kwa maslahi yao binafsi
Is there anything you have to support your claim?wala hatuna shida ukipromote. ndio mlikuwa developed lakini sasa hivi mmestack na kama unabisha ebu jaribu kufuatilia strategic invesstments zinazofanywa tanzania uone kama bado mtakuwa na hilo soko east africa
Bado tumewashinda mbali sana.wala hatuna shida ukipromote. ndio mlikuwa developed lakini sasa hivi mmestack na kama unabisha ebu jaribu kufuatilia strategic invesstments zinazofanywa tanzania uone kama bado mtakuwa na hilo soko east africa
Politics
Kama rais, ulitarajia aseme "Kenya miongoni mwa wawekezaji wa hovyo mno Tanzania, wako zaidi elfu mbili lakini total value ya investment yao ni less than $1.5B"??
kaka unajisumbua kubishana na maskini kama hawa hebu tizama tu mazingira alaf nambie πππππwala hatuna shida ukipromote. ndio mlikuwa developed lakini sasa hivi mmestack na kama unabisha ebu jaribu kufuatilia strategic invesstments zinazofanywa tanzania uone kama bado mtakuwa na hilo soko east africa
kaka unabishana na mtu kama huyo amabae hajui rais wao wa nchi kasema kwa mdomo wake kua kwa sasa kenya haina pesa ya kuendeleza hata JKIA, wameona wampe adani kwa sababu serekali yao haina pesa πππwala hatuna shida ukipromote. ndio mlikuwa developed lakini sasa hivi mmestack na kama unabisha ebu jaribu kufuatilia strategic invesstments zinazofanywa tanzania uone kama bado mtakuwa na hilo soko east africa
so walotajwa ni wakenya 2000 wameekeza chini ya 1.5b usd wakat amsons pekee kanunua bamburi kenya kwa 180m usd, taifa gas kaweka 200m usd, azam over 50m usd etc hao ni watu watatu tu nimekutajia bado kina oilcom wenye petrol station kenya na wanafanya bulk oil business, sijagusa lake gas ambae pia alinunua oil station zote za hashi na depot zake over 5b ksh
watoe wapi wakat africa ikitafuta uhuru wao walijitenga kabisa wakaamua kufanya biashara, haya kiko wapi leo tulidhani watakua level na singapore sasa hvi hata burundi inawatia kidoleπππHata mimi nilisema Rao hashindi hiv hapa Africa walishawahi kuwa na kiongozi wa ngazi za juu kweli