Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,804
- 41,709
Heb post tena tuone, nliona umeweka gorofa zenye kwanza si nzuri wala si za maana. Heb chagua the best then share humu.Kwahio hizo nimeweka ni makalio ama, hakuna gorofa moja yenye 25 flrs nje ya dar slum.
Kibera and other big slums arround Nairobi as of 12/09/2024.Hawa watu wako hovyo sana, I wonder why we argue with them here.., google earth 3D images za Tz yote hakuna any!.., now vile Ruto amejenga affordable Kibera w atatoa wapi picha za kujiliwaza? Have u seen the works kwa ground, a big chunk was flattened.., highrises zimekam speed..,
Si niliskia mnazalisha 4000MW? Kumbe ni 2800MW😂😂🤣😂
Connect the dotsDaladala tena.? Kwani me nilikua nazungumzia habari za daladala.? Au unachanganyikiwa.? 😂😂😂
Wacha nikupuuze hauna contentHeb post tena tuone, nliona umeweka gorofa zenye kwanza si nzuri wala si za maana. Heb chagua the best then share humu.
Acha kujichekesha kama unapumuliwa.Hatujamaliza kuwasha mitambo yote pale JNHPP,tutavuka hiyo by the year end.Si niliskia mnazalisha 4000MW? Kumbe ni 2800MW😂😂🤣😂
With a demand of 1400MW, you are a clown. 🤣🤣🤣Acha kujichekesha kama unapumuliwa.Hatujamaliza kuwasha mitambo yote pale JNHPP,tutavuka hiyo by the year end.
Tuko kwenye demand ya 2000mw,huo uzushi wako mpelekee RutoWith a demand of 1400MW, you are a clown. 🤣🤣🤣
Over 95% ya wakenya huwa wananuka.😂😂😂😂 haya ngoja waja waamue sasa 😂😂😂😂😂
Kubali maisha yako ya kinyang’au mzee.. you don’t have to fake little man. 😂😂😂😂 vile hutawazagi then unaminyana kwene matatu. Hiyo gari itakua haikaliki humo ndani mana raia wote wako na mbolea. 😂😂😂
Hii ndiyo kariakoo yenu?🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Eastleigh concrete jungle
View attachment 3093546
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Bado Nairobi imejaa slums... kimsingi ni slum capital ys hii Dunia. Tunawasitiri tu...worst slums in kenya
Mukuru zote...kwa Reuben, njenga nk
Kawangware
Korongocho
Mathare ( hii ni kubwa sana aisee kibera ikasome)
Na hapo kuna highrise slums zilizojaa mfano Pipeline..ghorofa moja wanakaa watu 3000 na wanashare toilets..ngua hazikauki nk
Mimi sijui viburi wanavitoaga wap hawa?
Mukuru September 2024
View: https://www.instagram.com/reel/C_vKWaUN3dy/?igsh=dm1qMjdwZWFyOHgx
Tuko kwenye demand ya 2000mw,huo uzushi wako mpelekee Ruto
tumeweka orodha ya mitambo ambayo iko tayari kwa usambaji. hicho kinachozungumzwa ni uzalishaji ambayo umeshaingia kwenye grid ya taifa, mfano mdogo tu ni wa RUFIJI ambako uzalishaji uko kwenye 2115 lakini umeme uliongia kwenye grid ya taifa ni 705 kwahiyo mahitaji yakiongezeka umeme utazidi sambazwa ila kwa sasa hatuna deficit ya umeme kama nyinyi
Ugaidi unanukia.
Umegoma nikusaidie.?Wacha nikupuuze hauna content