Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sama boy 255 na marafiki wake wanahujumu elekrik tireiniπŸ€£πŸ€£πŸ˜‚

View attachment 3092066
We black man mbn naona kama unajipost mwenyewe, hao umefanana nao wewe usimsingizie sama boy, wewe ndiyo uko kama hao kuanzia rangi mpaka mikono, usimsingizie sama boy kwanza humuwezi kivyote, sama boy ni handsome boy ila wewe umekomaa mikono mpaka uso 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Hellow Mr Red eyes πŸ‘€ Nicxie a.k.a Mandonga, umekimbia uzi auu 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Kwani wewe watchman Huoni shida train ikikwama Mara saba kwa miezi miwili? Huoni mshalemewa kuendesha SGR?πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Unatafuta Sama boy 255 aka baboon man akusaide? Nimekulemea ama? Kwanza huyo mwenye unaita haezinireply, muoga kama panya. Nilimtuma aende aulize kama babake alikuwa ni binadamu ama baboon lakini amekataa kurudi na jibuπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kazi kufuatilia matatizo ya nchi nyingine huku ya kwao yakiwashinda....

Hapa ni Nairobi Archives kila jioni...watu hupanga foleni hadi nyingine zinafika km 1. wakisubiri matatu zinazokuja moja moja kwa sababu ya foleni kwenye Barabara za Nairobi....
Hilo eneo la Archives halinaga Taa za mwanga ni full giza ukikaa vibaya unaibiwa...

Watu wengine husimama hata masaa 5 hapo hapo....kutwa kukoment mitandaoni...We have the best infrastructure in East Africa πŸ˜‚πŸ˜‚...

Sisi Dar tuko na BRT zetu, daladala kibao...na tunapambana kuziboresha kila siku na expansion zake zinaendelea sehemu nyingi...kila kitu kinachangamoto lakini at least serikali inazitatua moja baada ya nyingine....ni juzi tu hapa wameleta matumizi ya kadi...ni kuscan tu na kuingia kwa station...
November mabasi zaidi ya 200 yanaongezwa...

Lakini kenya no hope and there is no solution going on kusolve hii problem
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…