Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Roho yangu itapona siku SGR ikienda tunduma mpaka zambia
 
Mbona umefuta vtu vingine🀣
Huyo Watchman asikusumbue, anavaa t-shirt ya Wasafi mpaka inalika namna hiii πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Ile umaskini ipo Kenya si ya dunia hii, mwingine kashona t-shirt kwa mkono πŸ‘‡πŸ‘‡

Mwingine kapiga mitumba yake full hata pasi ya kunyoosha nguo hana na buti lake la SGR anakuambia ana maisha mazuri πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£


Na hivi ndiyo viatu vyao, wanakuambia waliingia faivu sitaa oteli, viatu vimelika alafu vikalika tena, hawa wakenya ni mafukara mnooo aiseee πŸ‘‡ πŸ‘‡ 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…