Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hujui maana ya laptop wewe. Nimekuambia hizo features ulizoziweka ni za HP. Nimekueleza Computer ni motherboard. Nioneshe hiyo motherboard ya hiyo laptop. Kitu mlichofanya ni ku fabricate housing lakini every thing from HP. Hata mimi ninaweza nikafanya hivyo. Nanunua Used computer nachomoa motherborad kisha natengeneza housing. Hayo yanafanyika sana hapa TZ. Kwasababu wewe ni mshamba nimeona nikueleze kwa urefu.

Hata wewe unaweza ukafanya hivyo. Hamna uwezo wa kutengeneza motherboard kwa sababu material kwenu hakuna. Ndio maana viwanda vya kutengeneza computer sasa hivi vimeshift na kuwekwa china kwa sababu material yanapatikana. Nchi haiwezi hata kutengeneza diode au sensor utawezaje kutengeneza motherboard? Prove kama mmeweza kutengeneza sensor yoyote la sivyo nitakuona wewe bado mbumbumbu. Ndio maana wenzako wamekuacha pekee yako wakikucheka.
Be smart my friend.
nyongwa kabisa 😀😀😀
 
Dar is slum ya sasa ni aibu tupu,si kinyesi si,ufuska,si ushoga,si ombaomba kutoka humo kuja Nairobi, na eti mwataka kujilinganisha na Nairobi? Mna miundo mbinu IPI,je,bypass za iyo slum yenu ya dar ni ngapi?Na hats super highways mnazo kweli?ka mnazo ni ngapi?Na je,dar iko hats na interchange kweli,ama ni huu upuzi wa flyover mbazoshabikia,huku Kenya zikiwa zimejaa chungu nzima,International airport yenu ni ya kiwango kipi,ama ni uchwara mnaolete hapa,Multinationals ngapi kwenye mji huo tupwa tupwa,na hata mnajenga supertall skyscrapers kweli?Au ni safari ya lelemama?Vyuo vikuu ni vingapi kwenye mji wenu kinyesi tupwa tupwa? Acheni vita na ndovu,vita vya kunya,msije kupasuka msamba
Hey ,you didn't mention 'Nairobi flying toilets' have you guys find a solution for it??
 
Annael ni kituko aisee ..., ccm ndio baba yake na mama yake ..., na magu ndio mungu wao ..
anapata vimishahara na viposho posho vyake kuishi , kupitia KODI zetu..., hatumii akili yake kufikiri sawasawa ... !
true story bro!!!
juu ya ii story, pewa Tusker mbili baridi nakam kulipa
 
Best in English and Wizi. Hakuna output yoyote. Nimekuembia uniletee outputs za wasomi wenu umekalia kupiga porojo.
Ngoja nikuogopeshe kidogo:-

SA-6 'Gainful' Missile in Tanzania
SA-6_Gainful_2K12_Kub_low-to-medium-altitude_surface-to-air_missile_system_Russia_Russian_army_640.jpg


Nchi zinazotumia.

300px-2K12_operators.png


a fourth world country like Tanzania is there to be seen but not heard.
 
true story bro!!!
juu ya ii story, pewa Tusker mbili baridi nakam kulipa
Muunganishe na huyo hapa aje kupambana na mimi mwite. Mimi ni smart zaidi yako naweza kukutoa povu na ukaanza kutukana ovyo ovyo. Hapa nimekuaibisha sasa unaanza kujipendekeza. Kama huniwezi nyosha mikono. Ndio maana upo hapa kwenye thread hii niliyoianzisha mimi unahaha namna ya kujibu mapigo.

Mchezo tumeshaumaliza Kenya imepitwa na wakati.
 


hiyo udsm hata usipime na The UoN.......

UoN has different faculties which are very independent and far apart.....

Kuna

Upper Kabete-health sciences
Lower Kabete-Business
Kikuyu campus-education arts
Kenya Science-education-science subjects
Chiromo -medicine and applied sciences
Parklands law school
And the main campus
 
Wewe kijana tushakuzoea na hio phrase "sio Tanzania ya 90's" hauna jipya. Try to be innovative/creative/intelligent lol...
which innovative/creative/intelligent u have in ya brain ?,,or u talk bra bras......without nothing........usijifanye smart kichwani wakati hauna kitu....wenye uwezo huwa hawajianiki......kiboya kama wewe

[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Back
Top Bottom