IamLee
JF-Expert Member
- Apr 23, 2017
- 6,628
- 7,820
Haha wewe hupenda kulia sana... Hakuna kitu kama mmetisha na majengo, tisheni na ubongo ama akili... Innovation my friend.UDOM founded 2007 tu. Sasa inawalaza hoi. Haya ni mapinduzi makubwa sana, sitashangaa kuona kenya ikiwa kwenye mkia. Maana sasa hivi mmezubaa sana. Mmebaki kukalia sifa za kijinga.
You are talking like you never saw the corridors of university brother, coz if you did, you would totally understand what I mean.