Reborn tkd
JF-Expert Member
- Dec 18, 2020
- 2,068
- 2,188
Kwa bahati mbaya ama nzuri 😂 hizo berth kadhaa ndio backbone ya mizigo yote ya TanzaniaUshaambiwa "to run some cargo berths".
Yani kupewa na kuendesha baadhi ya gati.
Chukua hiyo fananisha na Adani kuendesha airport nzima ya JKIA.
Yani TPA Adani akizingua hata kesho tunampokonya gati,aya vipi ninyi!?
We makalio hii nyimbo inaumiza maskio aisee!!😂😂😂😂Huyu kijana Bien Baraza mziki wake hua na resonate nao Sana. Grammy material
View: https://m.youtube.com/watch?v=DGmjwTqg_C0Hii ngoma ndio trending apple music Tanzania
View: https://m.youtube.com/watch?v=rFvox9-7aEo&pp=ygUWZXh0cmEgcHJlc3N1cmUgYmVuc291bA%3D%3D
Jidanganye na pole yako.Kwa bahati mbaya ama nzuri 😂 hizo berth kadhaa ndio backbone ya mizigo yote ya Tanzania
Dunia ya sasa kutomjua Kipchoge ni sawa na ushamba. World Goat huyo wazungu wanamvulia kofia.Mbongo hawezi fanya hivi.
Ninyi wenyewe na propaganda zenu uchwara.
Most of people bongo huwa hawafuatilii riadha na hawamjui kipchoge.
Manyimbo yao huwa ni mabovu kama sura zao😎We makalio hii nyimbo inaumiza maskio aisee!!😂😂😂😂
Jimbo bovu.
Wazungu kwasababu wanamfuatilia.Dunia ya sasa kutomjua Kipchoge ni sawa na ushamba. World Goat huyo wazungu wanamvulia kofia.
Mzee nenda apple Music Tanzania utanipa jibu. Taste yako ya mziki ni mbovu.We makalio hii nyimbo inaumiza maskio aisee!!😂😂😂😂
Jimbo bovu.
Nyimbo mbovu hiyo haieleweki.Mzee nenda apple Music Tanzania utanipa jibu. Taste yako ya mziki ni mbovu.
View: https://m.youtube.com/watch?v=Or2sMfOcTtwHuyu jina mziki wake hautaki uwe na pupa
View: https://m.youtube.com/watch?v=8g1hjEHdaWg
Ndio maana nimekwambia apple music manake boom play ni kwa teenagers.Nyimbo mbovu hiyo haieleweki.
Wabongo tunasikiliza music kwa wingi boomplay.
Sio huko.
Mzee nenda apple Music Tanzania utanipa jibu. Taste yako ya mziki ni mbovu.
View: https://m.youtube.com/watch?v=Or2sMfOcTtwHuyu jina mziki wake hautaki uwe na pupa
View: https://m.youtube.com/watch?v=8g1hjEHdaWg
90% ya musicholic TZ wapo boomplay.Ndio maana nimekwambia apple music manake boom play ni kwa teenagers.
View: https://m.youtube.com/watch?v=9VwxQUiKGtw&pp=ygUOZGltZW5zaW9uIGJpZW4%3D
Manake ni bure, wachache wenye uwezo wako Apple.90% ya musicholic TZ wapo boomplay.
We kaa shangaa.
Hii aina ya mziki mwanaume anaanzaje kuskiliza??
Kwa munajili wako.Manake ni bure, wachache wenye uwezo wako Apple.
Sasa huyo bien wako na hiyo nyimbo ipi nzuri!?Hii aina ya mziki mwanaume anaanzaje kuskiliza??