Kichefuchefu wao
Member
- Aug 29, 2024
- 61
- 190
Eti bibi titi π π π π π π π πBibi titi suluhu anajua kuvaa? πππ
Hizo ni za kutungulia ndege.Halafu ni guided missile hizo balaa.
Mngekuwa happy pale Ukunyani msingekula bullets mkitaka Ruto aende home!
Big brainnnn, SINGAPORE YA EA, Supepawaa ya blackout.Jamani Nairobi mmepaonaaa!?π€£π€£
View: https://x.com/Alfayaz11/status/1830542723096469885?t=0xEGLG4Mr2eYrbgE-Un8bA&s=19
Utafikiri linchi lao liko kwenye dunia ya kwanzaπ...Alafu wanavyokaza mafuvu humu asee
Wewe endelea kuimba wimbo wako takatifu wa render huku kila mradi ikijengwa wewe ukibaki kinywa waziSi kapost render au ww kipofuπ π π
Ila huyu mkwe nae wizara ishamshinda Sioni kitu anafanya kwenye hii wizara zaidi ya maneno mengi na kujipendekeza kwa mama mkwe wake, tamisemi kwa SASA imeoza kabisa
Wacha hasira mzee, kama hujaona render labda nikuoneshe tena plz π π π πWewe endelea kuimba wimbo wako takatifu wa render huku kila mradi ikijengwa wewe ukibaki kinywa wazi
Chakula kipo we cant complain, watoto wanaenda shule free education, subsidies kwenye agriculture we are grateful, unemployment rate is low, inflation is low, more public infrastructure are being constructed, we do not demonstrate yet we are least happy π€£π€£π€£π€£
Direct from the horse mouth π€£π€£π€£π€£Macho Yao yote Tanzania π π π π
Yani Tanzania ndio SASA inapigiwa mfano kwenye nchi Yao unlike 15yrs ago maneno haikua hvo, kweli mbwa anakufa SASA
View: https://x.com/ntvkenya/status/1830684737943306268?t=SU-Enc6Q1IAX8oLet2U5tA&s=19