Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mikono ya aina hii hupatikana kwa casual labourers na handymen
 
Just accept the truth there is no bus building in Tanzania, pesa zote mnabeba na kupeleka China. Hadi jina la basi mnaandikiwa na wachinaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£.
 
Mbona watanzania hawapendi kuambiwa ati hawana any bus building factory in Tanzania? Pesa zao zote wanapeleka Kenya na China. Hadi jina la basi hawaezindika, lazima wawandikiwe na mchinaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
 
Mbona imepauka hivyo au ulitoka kuvaa latex gloves ukaosha mikono na 70% alcohol. Just curious though 😁
Kama unataka kuona mikono yangu just say. My hand is softer than 99% of Tanzanians in this threadπŸ˜‚πŸ€£
 
Burundi pia ni nchi ya kupigia kelele? Mbona Azam hawangefunga hile timu ya Rwanda?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
Kumbuka APR ni bingwa wa Rwanda.
Hata ninyi Gormahia mngekutana na APR msingefua dafu.
APR ina experience kipindi cha miaka hii mitatu minne kwa kushiriki michuano tofauti tofauti.
 
Kumbuka APR ni bingwa wa Rwanda.
Hata ninyi Gormahia mngekutana na APR msingefua dafu.
APR ina experience kipindi cha miaka hii mitatu minne kwa kushiriki michuano tofauti tofauti.
The last time Gor played that APRπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…