Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kule kwao hata hawana aibu. Wanapea ambassadors Queen cake moja wrapped na zile juala za bob bob😂😂🤣👇👇

View attachment 3073220
Tumia akili.
Safari za treni zetu huchukua muda mchache sana kiasi ambacho hauhitaji chakula kizito bali asusa tu inatosha.
Ulitaka apewe wali na nyama ama!?
Safari ni chini ya masaa manne ya nini kula chakula kizito!?
 
Tumia akili.
Safari za treni zetu huchukua muda mchache sana kiasi ambacho hauhitaji chakula kizito bali asusa tu inatosha.
Ulitaka apewe wali na nyama ama!?
Safari ni chini ya masaa manne ya nini kula chakula kizito!?
So hiyo queen cake moja ya 5 bob si mngewacha tu😂😂🤣😂
 
I’m just stating facts😂😂🤣. Ama ni uongo kwamba SGR ya Tanzania imekwama mara tano within a period of one month?😂😂🤣
20240801_103207.jpg

Ushamba ndio unaikusumbua,hiyo ni kawaida sana kwa reli ya umeme,angalia tarehe hapo nyang'au,wenzako wanatubu ww tu umebaki na wivu,kwenye sector ya usafirishaji tumewabaka mbele na nyuma
 
Question of the day.

Why Should a man be ashamed of himself hadi atudanganye na picha ya mwanaume mwingine? Why?😂😂🤣😂

Venus Star why are you ashamed of yourself?😂😂🤣😂
 
What do they teach these idiots in school?😂😂🤣😂. Ati wanajua tu kusukuma😂😂🤣👇👇


View: https://x.com/Rydx_017/status/1825045130832667038

Kisukuma ni lugha yao ya asili ya jamii ya wasukuma.
Kiswahili ndio lugha ya taifa.
Shule zetu lugha kuu ni kiswahili katika masomo na kiingereza ni somo la ziada hadi ukiingia sekondari.
Hivyo hatubabaishwi tunadumisha tamaduni yetu ya lugha.
 
Back
Top Bottom