Reborn tkd
JF-Expert Member
- Dec 18, 2020
- 2,068
- 2,188
Wew unatoa challenge mtu mwingine akifanya unaona anakuwaza. Acha hzo bnaHivyo ni kusema wote tuliopo kwenye huu Uzi ni desperate, you included. Is that your point?
Inawezekana kusoma kiswahili hujui 😂😂😂😂Mume wao amekula hasara ...
View attachment 3073076
Wakenya mpo desperate sana. Hii ni proof kwamba hizi account kwenye x.com ni zenu.Kama wewe ni mbwa wa kusini usisome tafadhali maana utaumia 👇
View: https://x.com/PushatheTruth/status/1824794041562574913?t=YK3RD9lFaLoExgDR13Rvuw&s=19
View: https://x.com/tea12cup/status/1824871431676596660?t=rAtM8rMARrCFkt7woAQcoQ&s=19
View: https://x.com/nhekima/status/1824827217802830210?t=WBxZ2VJ4f6H7PeoUNaLQYw&s=19
View: https://x.com/jambo_boy77500/status/1824924638847115338?t=HshKtOe1cSzUrs2srvK34A&s=19
Unajua kitu kinaitwa loss of profit. Either way burudika na picha ya TudorInawezekana kusoma kiswahili hujui 😂😂😂😂
Usituambukize tabia yako ya kumiliki pseudo accounts . Kule nairaland ulikua na mbili, ktalk mbili na JF Una account Saba. Unafkiri hatujui tabia yako ya Ku like posts zako ??Wakenya mpo desperate sana. Hii ni proof kwamba hizi account kwenye x.com ni zenu.
Check huyu hapa ame register juzi juzi tu.
View attachment 3073079
Hiyo ni Account yako kijana. By the way Tanzania kwa sasa do not deal with trivial information. Leta Analytical issues tutakusikiliza.Usituambukize tabia yako ya kumiliki pseudo accounts . Kule nairaland ulikua na mbili, ktalk mbili na JF Una account Saba. Unafkiri hatujui tabia yako ya Ku like posts zako ??
Kula good news hapa kijana. Acha kushupaza shingoUsituambukize tabia yako ya kumiliki pseudo accounts . Kule nairaland ulikua na mbili, ktalk mbili na JF Una account Saba. Unafkiri hatujui tabia yako ya Ku like posts zako ??
eti ya kufananisha na cairo na jo'burg!bwege ushawahi kufika luanda au harare kweli!Mzee hizi ni silaha za kupambana na Cairo na Johannesburg na sio kijiji cha dar slum
Nilitaka kushaangaa wakati Dodoma Sgr station iko barabara kabisa, Iringa road. 😂😂😂Kwan hapo ni Dodoma au Morogoro?
Tatizo nyinyi ni vichaa...
😍😍😍😍😍😍😍eti ya kufananisha na cairo na jo'burg!bwege ushawahi kufika luanda au harare kweli!
View attachment 3073085View attachment 3073086
Nimependa hii. Safi sana SADC inashirikiana.Baada ya chokochoko za lake Tanganyika, Malawi imemwaga mboga.
View: https://x.com/AfricaFactsZone/status/1824853477899862135?t=v2_MA6Mam2cnC0FdueewHA&s=19
Iwe Dodoma, iwe Morogoro zote ni aibu.Kwan hapo ni Dodoma au Morogoro?
Tatizo nyinyi ni vichaa...
Wanajifanya humu kumbe wanatamani😂😂Juakali Facilities hadi wadanganyika wanatamani
View attachment 3073002
View: https://x.com/AbroadTanzania/status/1824763931010986452?t=UH8_SS54Y1E2mmoKuUAuOA&s=19
Jamaa kuna mda comment zake huwa zinanifikirisha sn mana kuna vimaneno fulani vya kimaskini mnoo huwa anaviongea, yn vitu vingine anaviongea nilikuwa naviona kule facebook miaka ile.This show una umasikini gani hadi upate hii fikira.
Pole sana Teargas hang in there utatoboa one day.
Kama kusema ukweli ndio kuumia then acheni niendelee kuumia 😂😂🤣Umia vizuri 😁