muhogo_kiks
JF-Expert Member
- Dec 4, 2018
- 1,759
- 4,855
Mnayamwezi mwingine huyo hapo, anajenga villas Zanzibar, kahamishia familia yake yote hapo Zanzibar. Sasahivi anaingia kwenye kilimo huko songea na Mambo yanaenda.
Wale wa niggaz from the hood hatuwataki huku, kina Hoffman ata nauli ya kuja huku anaomba wafuasi wake wamchangie 🤣🤣🤣
View: https://www.instagram.com/reel/C-AqeJWsIgv/?igsh=YzljYTk1ODg3Zg==
Watu ambao walikuwa hawatumii public transport(ukitoa ndege) sasa hivi unawakuta kwenye treni. This says a lot about our SGR.Huyu Balozi wa Japan hapa Tanzania 🇹🇿. Hatujamlazimisha akande kaka jirani anayolazimisha watumie saa 8 mpaka Mombasa kisa kaweka makochi mapya 🤣🤣
View: https://x.com/JapanAmb_TZ/status/1824699075331068196?t=nKK5HPG_iYJNjU8ARoaXGg&s=19
Dinning Coach. Things like these you will never see in that stalling Tanzanian train.
View attachment 3072276
Mkenya akifurahia SGR ya Tanzania.
Tanzania ni ulaya kwa wakenya...
View attachment 3071696View attachment 3071695
View attachment 3071697View attachment 3071698
Najua mkuu maana hata mimi mfuasi wa kula kucha muda mwingine najisahau hadi kucha za vidole vya miguu nazing'ata.Umejuaje aisee, hapa nilipo nilikuwa nakula kucha, sasa nilipoona hii msg nilichekaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
We brother labda Allepo, SYRIA Baghdad siku hizi imerudi kuwakaAloo kama Baghdad mwanangu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mweleweshe kitu pia public transportation zinabaguliwa kwa plate number, unless uwe na chuma cha ukweli ulichokitunza.Hazina impact kubwa kama pikipiki ndio maana pikipiki zilitolewa zikapewa sequence yake.
Halafu usisahau Zanzibar ina namba zake!Kutoka A kwenda S hazifiki hata gari 5000 kijana wangu. Piga Permutation Mathematics. Ndio maana nimekuwekea hizo ni za mwezi May.
Unataka sasa tupige mahesabu? 🤣 🤣 🤣 🤣 Let say mmefikia Z
Permutation sasa tuanza
Kenya From A to D = 4
From A to Q (I and O are always removed because zinafanana na number) = 17 - 2 => 15
Last later Tomesema mmemaliza zote mpaka Z
So itakuwa 26-2 = 24
Character permutation = 4x15x24 = 1,440
Numbers you have 3 position from 0-9 we assume mnatumia zero kwenye first position
Then itakuw 10x10x10 = 1,000
1,000 x 1,440 = 1,440,000
Kenya ipo na approximated 1,500,000 Cars
Unataka tufanye za Tanzania?
Tunatandika reli ya SGR mpaka Mbamba bay. Hii ndio priority kwenye reli after reli ya kati.