Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mzee Mimi huwa sibishani na stupid kijana. Mabishano abayo hayana tija huwa sifanyi.

I just show you na nimekuongezea gari mpaka kufika Z

Go learn Statistics Mathematics Sub Topic inaitwa Probabilities
Just accept that umeuma nje😂😂🤣.

HeSaba za class 4 imekushinda 😂😂🤣
 
Dinning Coach. Things like these you will never see in that stalling Tanzanian train.

View attachment 3072276
You will never see coz we spend 3 hours travelling of the same distance you take 8 hours. What's the use of having a dining coach??

MGR trains have a full kitchen coz you spend 2 days to reach kigoma.

Elimika kaka! Acha ushamba!!
 
Haka kajamaa ndo kale kanajinadi humu anapokea mshahara zaid ya tsh 3m?
Haka ndo kale ka "my PAYE is bigger than your salary"?
View attachment 3072211View attachment 3072212
Ndiyo kenyewe hako, tatizo kakijaribu kuweka private life yake humu inamkataa, yn unamuona kabisa jamaa ana life ngumu, life haiongopi, kama uko poa utaonekana na kama life ngumu utaonekana tu.
 
Hilo sio tatizo hana tatizo lolote jamaa wa watu.
Hiyo picha inaonesha jamaa ni mtu wa kung'ata sana kucha ndio maana vidole vipo hivyo.
Mtu yeyote anayekula sana kucha lazima vidole viwe hivyo.
Umejuaje aisee, hapa nilipo nilikuwa nakula kucha, sasa nilipoona hii msg nilichekaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mnaposema permutations mnamchanganya, hajui lolote kuhusu hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…