Reborn tkd
JF-Expert Member
- Dec 18, 2020
- 2,068
- 2,188
Vijana wa kenya kule X wako kwa Payroll ya CCM, bado hujajua πππππππ
View: https://x.com/Herstory104/status/1823690650174234692?t=wC1wdYXbEUHoDkiRfz2n-g&s=19
View: https://x.com/Obiri_jokeman/status/1823603001929687355?t=BA0Ku7yKQ4Nwqap12K4foQ&s=19
View: https://x.com/jose_mwz/status/1823603619289018496?t=zr8vEvaKi2KLQ1DfJigjfg&s=19
View: https://x.com/KuSammy3/status/1823607678439923730?t=sVK_nW1TfwVi9rAWsXfG8w&s=19
View: https://x.com/ItsPaul254/status/1823604238200492502?t=LQDUt5AG5DQSagRNJuKiLw&s=19
View: https://x.com/welneverknow/status/1823606863813894557?t=fRe28NW9iz58JNTp4acFNA&s=19
View: https://x.com/MrRightke/status/1823602665160413687?t=ISe2OMmKkH2c22fULANXBA&s=19
View: https://x.com/Wangeci69/status/1823605952177701223?t=K-FBYsTqcSCLFLFAugeg5g&s=19
View: https://x.com/jacindunge/status/1823611509542408564?t=HHlP83iABGEYKQgH8fhHXw&s=19
Huyo Mtanzania anaitwa nani? I wonβt be surprised kama ni MkenyaππZote hizi ni five star hotels and lodges na zote zinamilikiwa na mtanzania mmoja, Arusha
View attachment 3070373View attachment 3070374View attachment 3070375View attachment 3070376
Si kwa ubaya ila huyu jamaa huu mpozi wake huwa unanikera kweli, mwenyewe alijiona kavunja kumbe kaboaπ€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ View attachment 3070344
Si this year tu mlipewa msaada wa chakula na USAππUnaleta viripoti uchwara!?
Lini Tanzania ilipewa msaada wa chakula kama ishara ya HUNGER AND FAMINE!??
Kenya ipo katika list ya mataifa yanayopokea msaada wa chakula kutoka WFP.
Hilo ni jina la nicxie, ni mlinzi wa getini na nilimpa hilo jina kitambo, mm nafanya kazi airport na niliweka ushahidi humu, mm sio rika lako.Wewe ndio watchman, usikatae kazi yako.
Kuna mbwa mahali amesema SAROVA ni hoteli ya wahindi. Je anamjua jimmi Kariuki?? View attachment 3070470
Malay.a mzee wewe, mm nafanya kazi airport, Tanzania sio Kenya.Uliwai post picha zako humu na sare za watchman alafu unawaita wengine washamba? Unachekesha. π€£ π€£
Unafanya kazi ya watchman kule airport bwana, ulipost picha hapa na sare za watchmanππHilo ni jina la nicxie, ni mlinzi wa getini na nilimpa hilo jina kitambo, mm nafanya kazi airport na niliweka ushahidi humu, mm sio rika lako.
Wewe ni watchmanπππ€£π€£Malay.a mzee wewe, mm nafanya kazi airport, Tanzania sio Kenya.
Waambie hawa maboya wako wanasema eti Mkenya hawezi miliki ardhi Tanzania.
Hizi sheria za kuwaliwaza makalio kama wewe, shamba tunanunua vumbistan kama njugu πππView attachment 3070476
Kama umeuziwa 400 sqr meter kwa ajili ya makazi huko tanga anza kudai pesa yako,umetapeliwa kama wanavyotapeliwa kunyan wengi
Huko hovyo sana, pia unavaa midosho, alafu angalia pozi uliloweka, huku kwetu mtu anaweza akadhani umetoka kigoma leo leo, angalia hii jeans aloo, alafu upo humu kubishana na watu wenye maisha yao πππ€£π€£Hiyo picha huwa inakufarihisha ndio maana kila time unaipost huku. Remember mwenye yuko kwa hiyo picha sio mshamba, mjinga na maskini kama wewe. Pia Huyo hapo kwa picha sio watchman kama weweπππ€£
Asante for comparing yourself with a second year me. Huyo ndio level yako bwana watchmanπππ€£π€£.Huko hovyo sana, pia unavaa midosho, alafu angalia pozi uliloweka, huku kwetu mtu anaweza akadhani umetoka kigoma leo leo, angalia hii jeans aloo, alafu upo humu kubishana na watu wenye maisha yao πππ€£π€£View attachment 3070479View attachment 3070481
Mkuu okt tukutane hapo JNIAHilo ni jina la nicxie, ni mlinzi wa getini na nilimpa hilo jina kitambo, mm nafanya kazi airport na niliweka ushahidi humu, mm sio rika lako.
Wewe mshamba juzi tu hapa nilikuwa nakutesa mpaka unaenda ku download mipesa Google, ulivyo mshamba umenunua simu baada kupata ka mshahara umeanza kupost humu, kipindi kile kisimu chako cha Tecno ulikuwa huwezi hata kubishana kuhusu simu, mshamba sana we jamaa ππWewe ni watchmanπππ€£π€£
Ama airport unafanya kazi gani?πππ€£
Nov njoo TZ nikuuzie shamba nina eka 10 mkuranga,eka 2 kisopwa fanya uje nikukatie eka 2Hizi sheria za kuwaliwaza makalio kama wewe, shamba tunanunua vumbistan kama njugu πππ