The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,850
Anaonekana katoka maisha magumu mnooo, cheki alivyoparara, give him 4 months ata recover na kuwa na muonekano mzuri kama wenzake.Mkenya anakenua Tu kwa furaha 🤣🤣🤣
View: https://www.instagram.com/p/C-kIUdyMxui/?igsh=aGowd3BvNTBmYmN6
Ni kama FALUK SHIKALU yule kipa number mbili wa zamani wa Yanga ya Cedric Kaze.Anaonekana katoka maisha magumu mnooo, cheki alivyoparara, give him 4 months ata recover na kuwa na muonekano mzuri kama wenzake.
Capt Richie TeargasI have read the comments. Real Thinking Tanzanias would prefer a diesel electric train 🚃 that will never go off like the Kenyan SGR
Anaonekana katoka maisha magumu mnooo, cheki alivyoparara, give him 4 months ata recover na kuwa na muonekano mzuri kama wenzake.
Nyang'au hawataki kukubali kuwa Uhuru aliwapiga kisawasawa kwenye mradi wa sgr yao😎😎Capt Richie Teargas
Tanzania's SGR ndio kwanza iko kwenye elementary stages za commissioning. Hapa SGR yetu ikiwa imepewa real load "Abiria" kuangalia na kufuatilia kwa karibu tabia za mfumo mzima wa Reli "Trend". Ndio maana utaona kila baada ya siku kadhaa kuna tatizo linatokea USIKU. Halafu ndio twende kwenye Operational and Occupancy Commissioning then tuende kwenye warranty phase. Mradi mpaka sasa liability ipo kwa mkandarasi.
Ndio mjifunze utofauti wa SGR kati ya Stima na Kerosene. High speed train sio jambo dogo nala mchezo mchezo. Nyie kaeni mbali mjifunze.
Usipoteze muda wako na wapumbavu. Suala la treni lishaisha.Zile mali kobe zao sasa
Ushamba mzigo kweli... Tatizo hapo sio treni ni za mtumba... Ila njia ya treni ndio ina changamoto.
Kipande cha kuanzia Morogoro to Makutopora kuna shida kwenye signalling systems. Inakitajika kuongeza substations ili ku maintain standardised power and signal.
Mjiulize kama treni ndio mbovu mbona hazikwami kwenye njia ya DSM to Moro? Inakwama tu kutoka Moro to Dom.. Soon mambo yatakuwa fixed
Unapigia mbuzi gitaa.Capt Richie Teargas
Tanzania's SGR ndio kwanza iko kwenye elementary stages za commissioning. Hapa SGR yetu ikiwa imepewa real load "Abiria" kuangalia na kufuatilia kwa karibu tabia za mfumo mzima wa Reli "Trend". Ndio maana utaona kila baada ya siku kadhaa kuna tatizo linatokea USIKU. Halafu ndio twende kwenye Operational and Occupancy Commissioning then tuende kwenye warranty phase. Mradi mpaka sasa liability ipo kwa mkandarasi.
Ndio mjifunze utofauti wa SGR kati ya Stima na Kerosene. High speed train sio jambo dogo nala mchezo mchezo. Nyie kaeni mbali mjifunze.
Tanzania ni kama Pepo Yao 🤣🤣🤣Anaonekana katoka maisha magumu mnooo, cheki alivyoparara, give him 4 months ata recover na kuwa na muonekano mzuri kama wenzake.
Relly? Today😂😂🤣👇👇Pia toa update ya zile refurbished loco kutoka Spain ambazo mpaka sasa vichwa vya treni 20 viko hoi hapo KRA.
Vinafuka moshi tu kama jiko la kuni. Kunyaland ndio walinunua treni mbovu... Outdated.. Hata spare hazina ndio maana frequency ya treni imeshuka kwa sasa.
I have running water, idiot.Umebakiwa na madumu mangapi hapo ghetto kwako!! Lile pipa lako ushajaza?? Au umebakiwa na jaba moja Tu ndo unaringa!!🤣🤣
Saa hii wanatamani trains za diesel😂😂🤣Nimeangalia hizo reply kwa hiyo tweet Nimecheka 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Lakini situlisema hapa, Dar es Salaam nzima inasonga kwa jenereta, hivi burret Traini itasonga kwa jenereta!?
Nakumbuka CCM wakuambia watanzania eti..
"Yaani dude hili mnaviioliona ni next gen, latumia umeme, ila kwa uzuri, lina wakazi hifadhi moto wakulipeleka kwa saa nzima, tena lina uwezo wa kuswitch likatumia diesel ikibidi..."
Sasa ona.
View attachment 3068108View attachment 3068109View attachment 3068111
Mwezi moja hiyo refurbished train ishakwama mara tano😂😂🤣So huu ndio ushahidi wako 🤣🤣🤣🤣🤣
Nini inaonyesha ako bora when he doesn’t have any trophy to show😂😂🤣Ona huyu kuku sijui anazungumza nini!
Au huelewi kusoma!?
Nachomaanisha yule aliyefika robo fainali kombe la Uefa champions league ni bora kuliko aliyefika fainali na kubeba kombe la Conference league.
Kwasababu level tofauti,hapo nadhani itakua umeelewa.
What is good there? Copying of England community Shield ama?😂😂🤣Angekua Kenya mambo mazuri kama hayo angeyapata wapi?
Kenya is still ahead of Tanzania in FiFA ranking😂😂🤣Nilikueleza,tizama hapo TZ inaonesha kuongeza point za Fifa kila mara ila wewe hauna point zinazoongezeka.
Wewe kaa na endelea kuendekeza HISTORIA.View attachment 3068184
Unasahau jamaa amekuwa Tanzania since 2019?😂😂🤣 Hiyo Kuparara unaona ni mateso ya Tanzania🤣🤣😂😂🤣Anaonekana katoka maisha magumu mnooo, cheki alivyoparara, give him 4 months ata recover na kuwa na muonekano mzuri kama wenzake.
In one month your refurbished trains have already stalled 5 times😂😂🤣Capt Richie Teargas
Tanzania's SGR ndio kwanza iko kwenye elementary stages za commissioning. Hapa SGR yetu ikiwa imepewa real load "Abiria" kuangalia na kufuatilia kwa karibu tabia za mfumo mzima wa Reli "Trend". Ndio maana utaona kila baada ya siku kadhaa kuna tatizo linatokea USIKU. Halafu ndio twende kwenye Operational and Occupancy Commissioning then tuende kwenye warranty phase. Mradi mpaka sasa liability ipo kwa mkandarasi.
Ndio mjifunze utofauti wa SGR kati ya Stima na Kerosene. High speed train sio jambo dogo nala mchezo mchezo. Nyie kaeni mbali mjifunze.
Imagine SGR ya Kenya haikwami mara tano kwa mwezi😂😂🤣Nyang'au hawataki kukubali kuwa Uhuru aliwapiga kisawasawa kwenye mradi wa sgr yao😎😎
Tupe picha bila cosmetics.