NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,315
- 19,683
Mimi nadhani jamaa atakuja na vitu kama camera quality, internet speed, durability, screen resolution, processor, battery life, fast charging, design n.k jamaa ananiletea sales. πππAkili za mtanzania will leave you surprised ππ
Watu wananunua lkn sio wewe wala nyie wakenya wa humu, wote nyie mnaishi kwenye mabati na ma slums.Cha ajabu ni kwamba watu wanazinunua. And this is evident by the number of highrise buildings sprouting up in this area. Says a lot about kenyans' purchasing power that we've always talked about it but you keep dismissing
View attachment 3065613
Upper Hill is the most expensive square mile in East and central Africa so what do you expect?
Mita 100,000 π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Kundustan bado wanakomaa na Medals zao hizo 10?
What is the benefit of those 10 medals in Kenya?
Zitapunguza hunger?
Halafu medals zenyewe za kufukuza upepo π π π
Imekuwa big story huko Kenya, alafu kwanza Duke Abuya hawezi kuwa first eleven pale japo namtakia kila la heri mana ni mchezaji wetu, sema kupata namba Yanga ni ngumu sana.Kariobangi Sharks reject is the new hero of Yangaπππ
View: https://x.com/TeyaKevin/status/1821936681546883118
Maandamano ya unga π π π π πNiko fitii, nimekua busy na maandamano. Leo nimesema wacha nisalimie hizi kunguni from bongoslum. Naona bado munaendelea kuwafinya vile inafaa. π€£π€£π€£
Ati 50 buses? Unazeeka vibaya mzee. Mwaka wa 2022 pekee ndio hizo 50 buses ziliuzwa na ndio mwaka wa kwanza Basigo wanatengeneza basi Kenya. Yani mwaka wa majaribio 50 buses ziliuzwa. Sahii several matatu Saccos wanaplan kuenda 100% electric . Soon BasiGo might not even manage to deliver all their orders, another electric manufacturer will have to come in.πππ€£Huu mradi pacha wa Mobius less than 50 buses zimeuzwa!
Ndio wanakuja kutupigia kelele humu. Mtu unakimbia mita 100,000 umekuwa mnyama? π π π.Mita 100,000 π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Posta hakuna sehemu ya kujenga, sio kama kwenu CBD nyeupeee.Tuletee bei ya ardhi hapo Posta tuone basi
Mpaka mavi ya wazungu yanatoka kwaofrom Kundustan Teargas
Sikia hii mbwa eti we don't deal with Chinese bus yet ni Chinese company owned by china πππWe donβt deal with Chinese mikebes unless itβs assembled in Kenya thatβs when we can use them.
Chinese electric buses assembled in Kenya by KVM.
View attachment 3066478
View attachment 3066479
View attachment 3066480
View attachment 3066481
Leta ushahidi hapa Nasubiri ππππAlready there is a reservation for 500 buses in Nairobi and another 100 buses for Rwandan market.
View attachment 3066489
leta facts!Ati 50 buses? Unazeeka vibaya mzee. Mwaka wa 2022 pekee ndio hizo 50 buses ziliuzwa na ndio mwaka wa kwanza Basigo wanatengeneza basi Kenya. Yani mwaka wa majaribio 50 buses ziliuzwa. Sahii several matatu Saccos wanaplan kuenda 100% electric . Soon BasiGo might not even manage to deliver all their orders, another electric manufacturer will have to come in.πππ€£