ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,455
- 89,863
Kuna kijana alikuwa nyuma yangu chuo kikuu, ana miaka 32. Najua inakuuma jinsi Kenya ilivyokuwa kioo duniani ila ukweli ni kwamba hizi riot zimesaidia na zimeweka Kenya kileleni duniani hadi nchi zingine kama Bangladesh na Venezuela na Nigeria na Uganda zikafuata mkondo.Gen Z mpo wapi? Kuna mama mboga kwenye cabinet?
View: https://x.com/ntvkenya/status/1820922615667569092
Uwanja huu utaisha kabla ya uwanja wa Kenya
Ukiwa wewe ni mkweli na una akili timamu, niambie kati ya hizo nchi ulizotaja ni nchi ipi Kenyan hutembelea zaidi, kwa kusoma, tourism or pleasure.? Ongea tu ukweli.Uganda pia tunaenda, Rwanda tunaenda, Burundi tunaenda, DRC tunaenda, Ethiopia tunaenda. Hakuna cha kushangaza hapo wee kima. Sisi ni watalii na Mkenya akipata pesa kutalii ni lazima. Najua mnapenda approval ya Wakenya ila msidhani mko special.
Mbona najadili tourism na mtu ambaye hajawai toka Mbagala? Ebu nipostie picha zako ukiwa nje ya Tanzania nami nikupostie zangu ndio tuendelee na huu mjadala. Sina muda wa kupingana na kinyangarika ambacho hakijielewi maanake humu mimi hukuona hivi.Ukiwa wewe ni mkweli na una akili timamu, niambie kati ya hizo nchi ulizotaja ni nchi ipi Kenyan hutembelea zaidi, kwa kusoma, tourism or pleasure.? Ongea tu ukweli.
Akikujibu kwa picha bila matusi au kuhamisha magoli nitag.π€£π€£Mbona najadili tourism na mtu ambaye hajawai toka Mbagala? Ebu nipostie picha zako ukiwa nje ya Tanzania nami nikupostie zangu ndio tuendelee na huu mjadala. Sina muda wa kupingana na kinyangarika ambacho hakijielewi maanake humu mimi hukuona hivi.
Eeeh mada imebadilishwa? ππππ.Mbona najadili tourism na mtu ambaye hajawai toka Mbagala? Ebu nipostie picha zako ukiwa nje ya Tanzania nami nikupostie zangu ndio tuendelee na huu mjadala. Sina muda wa kupingana na kinyangarika ambacho hakijielewi maanake humu mimi hukuona hivi.
NairobiWalker ndio huyoo keshaajibu. ππ.Eeeh mada imebadilishwa? ππππ.
Kwamba mimi ni wa kusumbuliwa akili na huyo dem mbovu.? ππππAkikujibu kwa picha bila matusi au kuhamisha magoli nitag.π€£π€£
Si vyema mwanamke kushika mwanaume makende sistee, hujafanyia kijana poa. Si unajua yeye umbali ametembea ni kutoka Dar hadi Mwanza?ππ.NairobiWalker ndio huyoo keshaajibu. ππ.
Kwamba wewe pisi wewe pisi mbovu unadhani utanisumbua mimi kichwa.? πππππNairobiWalker ndio huyoo keshaajibu. ππ.
Jamaa unaniogopa hata ku quote comments zangu una hara ππππ Njoo direct mbona unanikwepa Kwepa.?Si vyema mwanamke kushika mwanaume makende sistee, hujafanyia kijana poa. Si unajua yeye umbali ametembea ni kutoka Dar hadi Mwanza?ππ.
Huyu hunikumbusha jinsi vijana wanaoishi pale ghetto huingia Facebook na kuanza kujibizana na maprofessor na kujiona wanajua kuliko hao maprofessor. Kuna picha fulani mimi huionanga sana mtandaoni, nimeitafuta nikaikosa. Naomba Mkenya aliye nayo anitumie. Kuna jamaa amelalia godoro tena chafu anapingana na watu mtandaoni. Huyo sasa ndio huyu kima. ππSi vyema mwanamke kushika mwanaume makende sistee, hujafanyia kijana poa. Si unajua yeye umbali ametembea ni kutoka Dar hadi Mwanza?ππ.
Ulipopost picha ya kwanza nilijua ulichokuwa ukitafuta. Wacha nikiipata nitakusundia. πHuyu hunikumbusha jinsi vijana wanaoishi pale ghetto huingia Facebook na kuanza kujibizana na maprofessor na kujiona wanajua kuliko hao maprofessor. Kuna picha fulani mimi huionanga sana mtandaoni, nimeitafuta nikaikosa. Naomba Mkenya aliye nayo anitumie. Kuna jamaa amelalia godoro tena chafu anapingana na watu mtandaoni. Huyo sasa ndio huyu kima. ππ
ππππ kwahiyo unanijua kumbe.? ππππ. Dah.!!Huyu hunikumbusha jinsi vijana wanaoishi pale ghetto huingia Facebook na kuanza kujibizana na maprofessor na kujiona wanajua kuliko hao maprofessor. Kuna picha fulani mimi huionanga sana mtandaoni, nimeitafuta nikaikosa. Naomba Mkenya aliye nayo anitumie. Kuna jamaa amelalia godoro tena chafu anapingana na watu mtandaoni. Huyo sasa ndio huyu kima. ππ
Nimeona umelia sana nikujibu. Uzuri wangu mimi hujibu mambo kwa facts. Eneo unaloongelea hili hapa. Area = 38 sq. kmππππwewe ni muongo mpumbavu wewe always.. ukichukua kuanzia oyster bay kufika mbezi beach ukanda wa bahari wote huo ni mansions ndio zipo huko huo upande unaweza kulingana na nusu ya Nairobi nzima πππ ulishawahi kufika Dar.? πππ
Talking about infrastructure wageni wapande disorganised matatuu na wawe wanakodi city guides wakitaka kwenda uwanjani π€£π€£π€£π€£Hata logic yako haimake sense. Football hosting inakuwa determined na infrastructure, sio tu mapenzi kwa mpira otherwise nchi kama Marekani haingekuwa inahost world cup kwa mara ya pili kabla Portugal ihost. Qatar haingehost kabla nchi nyingi za Africa na South America zihost. Halafu 2026 World Cup inachezwa USA, Mexico na Canada, kwa hizo nchi ni Mexico ndio wapenzi wa mpira zaidi ila Final March itachezwa USA. Kenya sahii tunajenga the best stadium in the region utakuwa mwehu kudhani wataacha hiyo stadium walete bongo kisa Simba na Yanga zinajaza stadium.
Uko ready tupost picha? Mimi nitakupostia nikiwa Europe na Marekani, wewe nataka tu ukiwa nje ya Tanzania, hata kama ni Burundi bora tu nje ya Tanzania. πππππππ kwahiyo unanijua kumbe.? ππππ. Dah.!!