Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Larger number ya investers ni foreigners na wanunuaji pia ni foreigners. Kwa kifupi with no wazungu settlers in your country then there’s nothing you can compete with us. Facts.
Alafu mwisho unaandika facts huu wako ni ukatuni.
 
Ukiona haujaridhika jitetee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ila huo Ndio ukweli, muda si mrefu ulitoka kutaja equity bank na sportpesa unajua kama ni investments za foreigners.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
Hauna content πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwamba Mo na pesa zake zote, kasoma marekani na ni tajiri no 1 in East Africa awe na ndoto za kuishi mombasa.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wewe ni mpumbavu.
Nilikuambia wewe ndo mtanzania hapa ndani hujafika Mombasa. Siku ukiwai hela lazima utakuja πŸ˜‚
 
Nilikuambia wewe ndo mtanzania hapa ndani hujafika Mombasa. Siku ukiwai hela lazima utakuja πŸ˜‚
Ngoja nikujuze πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mimi babaangu kwao ni Hapo jasini i, tunatenganishwa na jiwe la msingi liloandikwa upande kenya, upande Tanzania.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ watu wa mombasa ni maskini kupita maelezo.. nawajua.
 
So wewe unawajua watu wa mombasa kunishinda??? Tafuta hela kijana utajua dar slum ni mtoto wa Mombasa
 
So kama kaolewa Huko ulitaka amuoe yeye?

Ila wakenya nyinyi kama mishipa ya akili yenu inayoka kwenye makalio πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Yule ni dada yake mkubwa maana yake kaolewa so ulitaka amuoe yeye au????
 
So wewe unawajua watu wa mombasa kunishinda??? Tafuta hela kijana utajua dar slum ni mtoto wa Mombasa
Huyu jamaa amejenga nyumba katikati ya mpakaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ‘‡πŸΎ
View: https://youtu.be/bPuOKHVsc7E?si=mV10l_FYRqiVEwcZ. Watu wa mombasa nimeishi nao nawajua vizuri sana, kuanzia ushoga, venye they are lazy, maneno yao maziiiito πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. They speaking like them singing. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. I know them better. By the way mdogo wangu aliolewaga huko Mombasa (dingi alilengesha connection) πŸ˜‚πŸ˜‚ basi bwana huyo jamaa wa mombasa aliachwa becoz of his laziness.. β€œwazee wa maaa chapati ngumu” huwa tunawadharau sana wakifika Tanga. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…