Huna akili wewe SGR ni mradi wa kisiasa ๐๐China hawana ujinga wa ku allocate Rasilimali Kwa maamuzi ya Kisiasa bila kujali Tija yake.
Mashabiki wa simba huwa wana kaushamba fulani hivi kama wakenya ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃMbona mnatuhumiana? ๐ nimeona comment kama hii juu kwamba uto wanangโoa
Nineshafunga mjadala wa sgr,ujumbe umefika na umeeleweka.Huna akili wewe SGR ni mradi wa kisiasa ๐๐
China ndio nchini inaongoza kwa usafiri WA treni duniani alaf unaongea nn hapa
Hakuna kitu unaongea cha maana wewe, na wala hutazuia reli kujengwa Sisi tunahitaji reli zaidi ya inavotuhutaji 2050 Huko tutafika watu million 100 utasafirisha watu kwa kutumia bus au??๐๐๐๐๐Nineshafunga mjadala wa sgr,ujumbe umefika na umeeleweka.
Ni matumaini yangu viongozi wa baadae hawatafanya makosa ya kutupa Trilioni 27 Kwa vitu vidivyokuwa na faida kubwa kiuchumi
Hii haiwezi tena kuwa story mana it's obvious wakenya ni mashabiki wa simba na Yanga, maelfu kwa maelfu lazima waje kuzitazama hizi timu zinapocheza, alafu inaonekana huyu ni mgeni kwenye soccer, anapata tabu hata kujua wachezaji, wenzake huwa wanajua list yote mpaka wa benchi.
Natumai watunga sera hawatarudia makosa ya kimaamuzi na Kwa kuwa Tume ya Mipango imerejeshwa tutakuwa na mipango ya Nchi na timeframe kulingana na vipaombele.Hakuna kitu unaongea cha maana wewe, na wala hutazuia reli kujengwa Sisi tunahitaki reli zaidi ya inavotuhutaji 2050 Huko tutafika watu million 100 utasafirisha watu kwa kutumia bus au??๐๐๐๐๐
Tafuta hata mtu aliesomea uchumi akufungue fuvu Hilo limejaa kamasi na udenda
Unajua wewe huwa haueleweki kabisa, sio wewe huwa unakesha hapa ukisema SGR ilikuwa wazo la mkapa na baadaye Kikwete? Sasa mbona unamtaja aliyetekeleza badala ya kuwataja walioasisi? Wewe chuki zako kwa Magufuli hazitopelekea hii miradi aliyoanzisha Magufuli kushindwa kuwa na tija, na kwa taarifa yako tayari imeshaanza kuleta tija kuanzia JNHPP mpaka SGR, issue itabaki kwa waendelezaji tuNatumai watunga sera hawatarudia makosa ya kimaamuzi na Kwa kuwa Tume ya Mipango imerejeshwa tutakuwa na mipango ya Nchi na timeframe kulingana na vipaombele.
Hii habari ya mtu kuja na mipango yake binafsi Kwa maslahi ya Kisiasa kutoka ushauri wa chumbani haifai na ni hatari Kwa Ustawi wa Nchi.
Nadhani nimeeleweka vyema.
Lazima tujenge reli lazima tutanue mikakati ya reli nchi nzima, na lazma reli ifike nchi zilizotuzunguka kwa ajili ya biashara, reli sio ya MTU reli ya nchi manufaa ya kila mmoja wetu, bidhaa inayosafirishwa kwenda mwanza Kwa reli na lori ni tofaut hata bei haiwezi kua sawa, Europe pamoja na ubebebru wao wanatemegea reli ๐๐๐Natumai watunga sera hawatarudia makosa ya kimaamuzi na Kwa kuwa Tume ya Mipango imerejeshwa tutakuwa na mipango ya Nchi na timeframe kulingana na vipaombele.
Hii habari ya mtu kuja na mipango yake binafsi Kwa maslahi ya Kisiasa kutoka ushauri wa chumbani haifai na ni hatari Kwa Ustawi wa Nchi.
Nadhani nimeeleweka vyema.