Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakenya huwa wababaishaji sn, sasa hapo wamefosi hiyo ili waonekane na wao wanayo kama, kuhusu kupindapinda ni kwasababu mafundi ni Wakenya kumbuka.
 
Aloo kama mbele mwanangu ❀️ ❀️ 😘 😘 😍 😍 πŸ‡ΉπŸ‡Ώ πŸ‡ΉπŸ‡Ώ πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯
View attachment 3059283
Hii ndani imekaa poa ina recliner seats nzuri na view maridadi sio kama ile iliyokaa kama kijiwe cha kahawa🀣🀣🀣
 
Ngoja nikuache Kwanza maana akili zako ww zimebobea zaidi kwenye siasa za kibeberu, mtafute mchumi akutafautishie faida na ujue kwann reli ni lazima 🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…