Kuna mambo mawili yawezekana wanafanya majaribio au hujuma zimeanza bado mapema Sana na safari hii tusipokua makini hujuma zitakua nyingi Sana kwasababu tunaleana watoto WA mjomba na shangazi 😂😂😂😂😂Matatizo ya kiufundi ni kawaida tu kwa treni mpya,reli mpya ya umeme. Bado wanasafiri na wale Wakorea na Waturuki kwa kujua kuwa haya yanaweza kutokea.
Kuna kitu nili note wakati naenda Dodoma,kila treni ikifika kwenye power substation inakata moto ikipita inawaka tena inaendelea,safari nzima ilikuwa hivi. Lakini from Dom to Dar hii kitu haikutokea sijui nini ilikuw sababu.
NB:Ikikata moto haisimami inasinzia tu halafu inaendelea.
Au ndio hujuma zimeanza mapema ??Chanzo cha tatizo kukwama kwa treni ya sgr jana.
Imekuwaje pesa ilikuwa inatoshaYa dodoma ina cover mabehewa kama 4 au 5 tu na hiyo treni inaweza kuchukua mabehewa mengi sana ilitakiwa hiyo platform iwe 1km si vinginevyo ....pia yakenya imejengwa kisasa hata sakafu tofauti na yetu sehemu ya kupandia sakafu ni mbaya huo ndiyo ukweli ...pesa zilitosha kufanya hayo yote vizuri kabisa
👇👇👇👇👇 Aanze mtoto WA mjomba kuwajibika alaf panga lifate kwenginekokadogosa ndo anapaswa awajibike!
Hizi ni hujuma ngedere hana uwezo wa kukata nyaya ya umemeAu ndio hujuma zimeanza mapema ??
Yani nimeshtuka Sana tena kwa awamu hii tutaona mengi Sana, lakini muda ni msema kweliHizi ni hujuma ngedere hana uwezo wa kukata nyaya ya umeme
Okay.Treni za umeme hata za ulaya huwa zinafanya hivyo zinapopita kwenye neutral zones ambapo source ya supply ya umeme inapobadilika.
Mambo ya kawaida.Chanzo cha tatizo kukwama kwa treni ya sgr jana.
Watu wabishi tu! Kama una leseni si suala la elimu! Naamini kila anayeendesha ana leseni!Hawatoi elimu KAZI ya traffic sio kukamata magari Tu na Kula rushwa wanatakiwa watoe elimu pia
Nimeona kondoo zimechekelea hadi gego limeonekana. 😂😂😂Chanzo cha tatizo kukwama kwa treni ya sgr jana.
Ihefu ni katimu kadogo sana pale Tanzania.