Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Venezuela kila alipokua akishinda Maduro walikua wanaandamana.
Hiyo sio mara kwanza na wala haijasababishwa na Gen Z wa Kenya.
Hata mwaka juzi waliandamana kutaka Maduro Venezuela atoke madarakani.
Acheni kujipa umuhimu wa kifala msiostahili.
Ni wajinga sana kudandia hoja, wanadhani wao tu Duniani ndio wanafanya Maandamano, utasikia wao ndio wamefanya Nigeria iandamane.

Wanaikumbuka END SARS demonstration?
 
Ni wajinga sana kudandia hoja, wanadhani wao tu Duniani ndio wanafanya Maandamano, utasikia wao ndio wamefanya Nigeria iandamane.

Wanaikumbuka END SARS demonstration?
Walinichekesha kuhusu Sheikh Hasina wa Bangladesh,eti walidai Bangladesh nao waliandamana kisa eti Gen Z wa Kenya.
Makalio hawaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hakuna aliyesahau Wananchi,sema siasa za maigizo charismatic politics ndio hazipo Kwa Sasa the likes of Magufuli but ukiniuliza mimi.nitakwwmbia Mama has done twice as much as Magufuli did like hivi πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/C-C8Wk3qB2E/?igsh=MWNubXAzZ2ExbWc0ag==
View: https://www.instagram.com/reel/C-C_CukKnH3/?igsh=bmk4bGlhMmcyaXh4
 
Zile number zao wanazotamba nazo walizopata with in 5 years of operation sisi tunazipiga with in ndani ya mwezi mmoja wa ufunguzi.. πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨πŸ“ŒπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://twitter.com/TanzaniaLeaks/status/1817846583607603268?t=Ayx0_9Fw8ianpikW91iJGg&s=19
Hizi ni siasa za kijinga sana.Hakuna mwenye monopoly of power.Haya mambo ya mtandao sijui nini ni siasa zinazosumbua tu kizazi hiki cha juzi.Lakini watalaamu wa siasa wanajua kuwa ndani ya Chama Huwa Kuna power struggle pia ni kazi ya kila kundi kutengeneza ushawishi ili mgombea wao ashinde wakati fresh nomination inafika muda wake.Hao akina Nape,Makamba utake usitake unawahotaji.President Samia asisikilize maneno ya wapambe uchwara 2025 Kuna weza kuwa na vumbi lisilotarajiwa kutoka na watu wanavyozidi kuaminishwa kimya kimya uhasi wa Madam president.Not easy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…