Timu kubwa indeed๐คฃ๐คฃ๐๐๐Hatujasema sisi ni sporting nation usitulishe maneno, tumesema sisi ni footballing nation, jana Yanga imeshinda 4-0 dhidi ya timu kubwa SA, timu gn ya hapa EA inaweza kualikwa South Africa ๐น๐ฟ ๐น๐ฟ ๐ฅ ๐ฅ ๐ฅ
Kitu kime-break down!Haiti Mission. View attachment 3056267View attachment 3056266
Atakuwa na UTI sugu ๐Nenda kapimwe mkojo ๐๐๐๐
Upgrade your TV set.HD camera za azam ๐ฌView attachment 3056284
viti havifiki 200!
Ipo ndio designated airport ya Bagamoyo
ohk sikujua!Ipo ndio designated airport ya Bagamoyo
Umia kidogo mpumbavu,chuma hiyoooo
Hakuna Stadium ina viti tanganyika outside Dar.viti havifiki 200!
Umeanza kudata sasa.
Reli yetu ni hybrid ya Arema na European standard na sio Chinese. Hayo mavitu Euro sio mipigo yao.Kwani hiyo treni inashusha na kupandisha watu dodoma tu ujui inavituo vingi tena vinaendelea kujengwa kama hili kosa likiendelea itskuwa ni upumbavu ..tatizo lenu kwenye huu uzi mmejazana wapuuzi ambao mnaleta ushabiki kwenye mambo ya msingi.
Hawa mbwa hawakawii baadae Kusema Duke Abuya ndio anaipaisha NBC Premier league, wakati akiwa Singida Big Stars ukiwauliza watasema no Body know him, mpaka anaitwa Harambee stars yupo Ihefu.๐๐๐๐๐ kumbe habari wanayo
View: https://x.com/TeyaKevin/status/1817576057610133860?t=PSJWGxTZQgfhgeKGaJfKcw&s=19
We nawe shida yako nini?Kwani hiyo treni inashusha na kupandisha watu dodoma tu ujui inavituo vingi tena vinaendelea kujengwa kama hili kosa likiendelea itskuwa ni upumbavu ..tatizo lenu kwenye huu uzi mmejazana wapuuzi ambao mnaleta ushabiki kwenye mambo ya msingi.
Kuelekea 2025 ni Ngapi ngapi huko Hadi saizi? ๐๐๐๐๐๐
Kijana wangu, Abdul banaNenda jukwaa la siasa kaanzishe mada tutakuja kukupa dozi huko huko
Aisee, ugeni mkubwa kitoka China sio mchezo, basi hapo najua wazee wa west roho juu....๐คฃ Sisi watusahu Tu, huku ndo kwetu
League ya south Africa utafananisha na league yenu??๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃBiggest team in East Africa View attachment 3056280