Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Footbridge mpaka kwenye wilderness, dar watu wanazama kwenye culvert 😎🇰🇪👇😍
Screenshot_20220421-132247.png
 
Full operations na bado haijafika malaba?

Mombasa-Nairobi atleast, ina miaka zaidi ya 5, sisi Dar-Moro/Dom ndiyo kwanza imeanza, lkn siyo big deal ni observation yangu tu ya treni ya Kenya hiyo ruti ya Mombasa-Nairobi imekaa kitalii zaidi labda kuna sababu kwa nini iko hivyo, siwezi jua lkn kwa TZ hiyo central line yetu ndiyo kila kitu, ni kama maisha, wakati wa treni ya zamani kuna mpaka vijiji vilianza a long the central line, hivyo ina umuhimu mkubwa sana kwa maisha ya watu wa kawaida along the central line Dar-KGM/MZ, hivyo inawezekana kuna tofauti kati ya hizo treni ya TZ/Kenya siwezi kujua …
 
Hizi ni clip za kutengeneza ni aibu kufanya ujinga wa namna hii! Kwenye hizo clip hakuna kichwa cha treni, yaani linapita tu body, how possible is that?
You can’t see the head because of the speed. Na nikiwaambia Kenyan trains can move faster than your trains mnalia hapa🤣🤣😂😂.
 
Masaa 6 utofauti wa bus na reni ni upi sasa?

What luxury are you talking about without air conditioning, video screens or WiFi?
Video ya Kazi gani? Kwani huna video kwako?😂😂🤣🤣. Mbona unabishana kishamba?😂🤣🤣

99.9% of European, American and Chinese trains have no video screens. Why? Because wanajielewa😂😂🤣
 
Hizo seats za kuangaliana zipo sehemu mbili tu na kwa ushamba wako unafikiri hazipaswi kuwepo! Ni kwa ajili ya group travel kama familia au watu wanaojuana na kusafiri pamoja per request! Usichanganye na yale mabehewa yenyu yanayolalamikiwa kuangaliana na stranger ananuka chang’aa the whole 8 hours journey between Nairobi and Mombasa!
Mnaangaliana kama mbuzi kwa trains zenu. Msijaribu kukwepa huo ukweli😂😂🤣
 
Ila wewe ni mpumbavu sana 😂😂😂 kwamba serikali itengeze the longest sgr network in the whole of Africa ishindwe kuweka seats kadhaa ndani ya behewa? 😂😂😂😂

Kuna mambo mawili huenda wewe ni moja kati ya hayo, ima wewe ni chizi au punguani. Choose one
I’m not Pri ary School dropout like you, I’m not also poor like you.
 
Back
Top Bottom