Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unajifurahisha.
Facts are stubborn 😂😂🤣👇👇

IMG_0387.png
 
Usinifanye kipofu 😂😂😂👇👇👇

View attachment 3049004
Hizo seats za kuangaliana zipo sehemu mbili tu na kwa ushamba wako unafikiri hazipaswi kuwepo! Ni kwa ajili ya group travel kama familia au watu wanaojuana na kusafiri pamoja per request! Usichanganye na yale mabehewa yenyu yanayolalamikiwa kuangaliana na stranger ananuka chang’aa the whole 8 hours journey between Nairobi and Mombasa!
 
Back
Top Bottom