Reborn tkd
JF-Expert Member
- Dec 18, 2020
- 2,068
- 2,188
Haiti tunaendelea kupokea matokeo mazuri, big Nations ishakua world police 👮
Your trains can’t operate kwa at the same within the same station🤣🤣😂😂. Ebu tuambie loading train itasimama wapi and offloading itasimama wapi?Unajua wakati mwingine ninyi wakenya mnakuwa kama mataahira, hivi kabla ya kupost huwa unajiuliza kweli? Sisi watanzania tumeshaonesha kwamba tunaakili kubwa kuliko ninyi wakenya, hivi ushajiuliza kwnn hili eneo ni kubwa na lipo cleared like this? 👇👇View attachment 3053866
Ni kwamba hapo inawekwa reli. Lakini sio tu treni mbili at a go, bali zitakuwa tatu kwa wakati mmoja, nyingine itapita nje, hii hapa 👇 👇 View attachment 3053867
Sisi tuna akili kubwa kuliko ninyi wakenya.
Bado hujalia ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜¬Moshi umeisha?
Upuzi.
Bila madness za dodoma.
Kama Ulaya mwaka 1800Kama Ulaya goddammit 😎👇🇰🇪
View attachment 3053981View attachment 3053983View attachment 3053982