Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

welcome king thierry henry
Capture1.PNG
 
Labda nikuulize swali kwani SGR ya kenya mlijenga kwa siku mbili??? Maanza tumeanza ujenzi hata miezi 6 haijaisha munaanza kutoa povu😀😀😀
View attachment 646153 View attachment 646154
Hii picha iko recycled kwani project ilikwama


Bagamoyo ujenzi unaendelea na 2020 inaanza kupokea meli na hapo ukumbuke dar port and mtwara port ziko under huge expansion
 
Mike Sonko..Nairobi will chane foreverView attachment 646467 View attachment 646468
[emoji2] [emoji2] [emoji2] yaani wewe kwa akili zako hujaelewa hao jamaa kwanini wanapiga chapuo hiyo mashine inunuliwe na kwao.badala yake umeona ni sifa.

Hapo wanamaanisha na kwao kuna mashimo ya kuhitaji kuzibwa haraka kama yaliyopo kenya,kuna tatizo katika viwango vya barabara nyingi.ni sawa nije niandike hapa tz imenunua mashine nzuri ya kuongezea nguvu za kiume.
 
Back
Top Bottom