Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,226
- 107,851
wako busy kuchafua utalii wetu eti anti-hunting!
Ukitaka kujua kuna watanzania uwa wanasabotage maendeleo kwa kulipwa na kundustan unaweza kusikia na sisi tukapandisha hiyo fee,ningekua mimi ningepunguza kabisa
kupunguza ili iweje? mipango ya budget itatekelezwaje?Ukitaka kujua kuna watanzania uwa wanasabotage maendeleo kwa kulipwa na kundustan unaweza kusikia na sisi tukapandisha hiyo fee,ningekua mimi ningepunguza kabisa
Ngoja nimwite chawa WA mama atusaidie kufikisha ujumbe ππππ ChoiceVariableUkitaka kujua kuna watanzania uwa wanasabotage maendeleo kwa kulipwa na kundustan unaweza kusikia na sisi tukapandisha hiyo fee,ningekua mimi ningepunguza kabisa
Chawa ndio nini? Haihitaji maelezo mengi , Bajeti hii Serikali imepunguza tozo na ghasia kwenye sekta ya Utalii.Ngoja nimwite chawa WA mama atusaidie kufikisha ujumbe ππππ ChoiceVariable
Sawa umeeleweka abduli ππππChawa ndio nini? Haihitaji maelezo mengi , Bajeti hii Serikali imepunguza tozo na ghasia kwenye sekta ya Utalii.
Teargas sahii njaa inamnyandua πππRuto ameanza kuwagonga kisawasawa. Wapi Teargas π€£ π€£ π€£ π€£ π π π π
View: https://x.com/edgarwabwire_/status/1815847074375643513