Ulaya ulaya 😁
Some africans are more equal than others 😄😂😂😂😂😂😂 Ni fedheha yarabbi
Wakati kunyan wanakaribia kuanza kuchinjana huku kwetu ni tofauti kabisa
Nakukaribisha s.... njoo nikutie mimbaKama hapa ni ulaya heri nisiwai tembea Ulaya tena.
Daah 😂😂😂
Wamezindua channel mpya iitwayo AZAM SPORTS 4HD, wataanza kuonesha ligi ya Serie-A, Laliga pamoja na kuendelea kuonesha Ligi kuu na ligi ya Germany 'Bundesliga'
Teargas kuwa standby stool comes in handy😁Yarabi saidia hii nchi inatutia aibu 😔😔
View: https://x.com/citizentvkenya/status/1816026677845139657?t=yWfSsY4vu5bL2mgAmI28Lw&s=19
🤣🤣🤣🤣na manjonjo ya vile viti locomotives ni haya mabichwa?
View: https://youtu.be/ZGN3Zt9z5Qw?si=yxSobu6OB1IKvp0o
🤣🤣🤣na manjonjo ya vile viti locomotives ni haya mabichwa?
View: https://youtu.be/ZGN3Zt9z5Qw?si=yxSobu6OB1IKvp0o
Kama kaongeza channel aweke kwenye bundle za kuchagua kama anavofanya mbona vifurushi vingine ni vya kuchagua kulingana na uwezo MTU alionao, kununua vifaa havihuasiani na kupandisha bei, yeye kaona kua hakuna mtanzania anataka kuangalia league ya Italy so analazmisha tulipie kwa lazima that's allWamezindua channel mpya iitwayo AZAM SPORTS 4HD, wataanza kuonesha ligi ya Serie-A, Laliga pamoja na kuendelea kuonesha Ligi kuu na ligi ya Germany 'Bundesliga'
Na wamenunua vifaa vipya vya kisasa, sasa ndugu bila kuongeza bei ya vifurushi unadhani hela ya mwezekaji itarudi vipi!
Ama unafikiri hizo league wanazipata FTA! 😂😂😂
Soon Tanzanian investments will be all over East and Southern Africa.
Iko kama treni inayofanya kazi kwenye machimbo ya makaa ya mawe🤣🤣🤣🤣Daah 😂😂😂