Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapo Mvua inampataje Mtu heb tueleze,😂😂😂 ulizani hizo ni leaking roof like that of JKIA?
Huezikuwa maskini na ukose akili at the same time. Try to reason.

From this picture only one coach is covered by that canopy. The remaining other sections zote ziko nje exposing passsengers to adverse weather conditions 🤣🤣😂😂👇👇👇

IMG_0396.jpeg
 
Then how come this coach is purely preserved for Indians?😂😂🤣👇👇

View attachment 3050306
Nishakuonesha huyo wa tatu kutoka mwisho sio Muhindi.
Pia kuna viti empty na kuna siti za nyuma hazijapigwa picha.
Yani umeleta picha ya behewa limekatwa ukisambaza propaganda zako za kishenzi!?
Jinga kabisa.
 
So umekubali Tanzanian SGR is running on empty seats?🤣🤣🤣
 
😂😂😂😭😭😭😭😭🍑🍑🍆🍆🍆.
Mpini ushaingia.
We una una uhakika gani kama lilianza safari na kumaliza likiwa empty!?
Je haikubeba na kushusha vituo vidogo!?
🍑🍑🍆🍆😭😭😭😂😂😂.
Nasubiri kilio kingine.
 
Then how come this coach is purely preserved for Indians?😂😂🤣👇👇

View attachment 3050306
Unajaribu kujionesha una akili ila una mawazo mafupi sana. Kuna taasisi na social groups huwa wanakodi behewa zima. Ndio hao unaona. Ijumaa Dodoma trip kuna taasisi sitaitaja jina wamechukua karibu nusu ya treni kwa ajili ya watu wao. Na watu wao hawana uhakika wa kujaza hayo mabehewa ila wamelipia yote. So uttaona some half full coaches uje hapa upige kelele treni zinaenda tupu.
 
😂😂😂😭😭😭😭😭🍑🍑🍆🍆🍆.
Mpini ushaingia.
We una una uhakika gani kama lilianza safari na kumaliza likiwa empty!?
Je haikubeba na kushusha vituo vidogo!?
🍑🍑🍆🍆😭😭😭😂😂😂.
Nasubiri kilio kingine.
Kwani treni yenu ni daladala?🤣🤣🤣.

Anyway enjoy the ride with empty seats😂😂😂👇👇

1721754428540.jpeg
 
Unajaribu kujionesha una akili ila una mawazo mafupi sana. Kuna taasisi na social groups huwa wanakodi behewa zima. Ndio hao unaona. Ijumaa Dodoma trip kuna taasisi sitaitaja jina wamechukua karibu nusu ya treni kwa ajili ya watu wao. Na watu wao hawana uhakika wa kujaza hayo mabehewa ila wamelipia yote. So uttaona some half full coaches uje hapa upige kelele treni zinaenda tupu.
So in short that’s a coach preserved for Indians ?😂😂🤣🤣

Thanks for accepting and being honest 😂😂👏👏👏
 
Huna akili wewe. Hata US or UK au Chinese embassy wanaweza kukodi behewa lao. Hata Wakenya wanaweza kukodi behew zima. Akili yako imejaa ubaguzi ndio maana unafikiri unavyofikiri.
 
Back
Top Bottom