Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Pretoria To Dar es Salaam

View: https://youtu.be/YHwW1Yc8mCE?si=VjaB8wIWHvHsIfXp

RVR-Map-ALL-ROUTES-2024_2.png

RVR-Map-DAR-1024x1024.jpg

Hiz train zingekuwa zinamove kwa 160+km per hour aisee Africa ingekuwa mbali sana
 
Nadhani Kenya hawakutambua lengo kuu la SGR.
SGR ni kwa ajili ya ufanisi wa mwendo(speed ).
Ndio maana hata ilivyoundwa ni kwaajili ya kuruhusu chombo kutereza kwa ufanisi wa haraka na uhakiki wa usalama zaidi.
Sasa hawa jamaa sijaelewa SGR waliijenga kwa dhumuni lipi!?
Na walivyo wapumbavu badala waongeze mwendo wa treni wao wanaleta mabehewa ya anasa halafu bei kubwa,yatamnufaisha vipi mwananchi wa kawaida!?
Hapo hapo unaambiwa kuna ndege kuelekea njia hiyo hiyo tiketi bei rahisi.
AISEE hawa jamaa ni wajinga.
 
kuteleza na si kutereza!
 
Samia amwitwndea Haki Mbeya,tutamkumbuka daima
-Kukamilosha uwanja wa Songwe Airport
-Barabara Njia 4 km 37
-Barabara za Mitaa km 15(Tactic)
-Maji ya kutoka Mto Kiwira
-Stendi Mpya na soko

Heshima ya Mbeya imerudi,renders coming soon 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/C9wQho1NO8W/?igsh=MXB3anZnZGNxMm80ag==

Note : In top of that na kubwa kuliko ni Kuuteua na kuanza Ujenzi wa uwanja mkubwa wa Maonesho ya Kilimo Kimataifa 8/8 wa John Mwakangale.

Viwanja vya Kimataifa ni Dodoma na Mbeya tuu 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/C9vDMF1tRIv/?igsh=Z3h6Y2Q3NGllcXNy
 
Nadhani Kenya hawakutambua lengo kuu la SGR.
SGR ni kwa ajili ya ufanisi wa mwendo(speed ).
Ndio maana hata ilivyoundwa ni kwaajili ya kuruhusu chombo kutereza kwa ufanisi wa haraka na uhakiki wa usalama zaidi.
Sasa hawa jamaa sijaelewa SGR waliijenga kwa dhumuni lipi!?
Na walivyo wapumbavu badala waongeze mwendo wa treni wao wanaleta mabehewa ya anasa halafu bei kubwa,yatamnufaisha vipi mwananchi wa kawaida!?
Hapo hapo unaambiwa kuna ndege kuelekea njia hiyo hiyo tiketi bei rahisi.
AISEE hawa jamaa ni wajinga.
Huwez kuongeza mwendo wa train kwenye bolt jointed rail mzee utaua watu 😅😅😅😅

Unless wafanye full welded rail na hio pia ita depend na zile curve ya njia ya reli imejikunja Kias gani

Hawa hawana dira kwa sasa ndio maana unaona wanauana kwasababu ya unga na githeri
 
Ebu waulize Mbona wasingejenga Hilo gorofa Tanzania, Uganda, Zambia ama Burundi😂😂.

They know very well that Kenyan market is capable of filling that tower even before construction iishe and the tower won’t remain vacant like zile tatu wako nazo Dar is Slum.

Also remind them that Tanzanian building to be constructed in Upperhill is designed by James Kimathi 😂😂
Huyu James Kimathi wanamtambua sana hawa majamaa. Na bado watakuambia education yao imeshinda yetu. 🤣 🤣
 
Back
Top Bottom