Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

lol......Such pedestrian awards hata bamako na Mogadishu wanazo
Wivuuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] , hiyo ni ya kidunia, ni mara ya kwanza kutolewa kwa nchi za Afrika, soma ujieleweshe, kumbukani hata ninyi mlituma kundi la mungiki wa Nairobi kuja kujifunza
 
Keep on chasing wind[emoji2] [emoji2] [emoji2] Brothers ...
Too bad I seat across the board room with the best Kenyan architects daily... (Working in an international firm based out of uae).. With technical clarity..and without professional biasness we can all agree on that... Najishangaa napoteza muda na MTU hujui hata..how laws of urban development work; from spatial context.. Huwezi jua... How these things work.. Educate yourself..
 
pinnacle na montave iko wapi, 😀😀😀😀😀 itatunyima vp usingizi wakati haipo iko kwenye makaratasi
2020 msiogee about towers [emoji2] [emoji2] mkimbie[emoji2] [emoji2] stone town mtuletee hoteli[emoji106] [emoji117]
 
The 1.4 km Likoni bridge construction to begin April 2018.
Kilometer 1.4 bridge inayopita baharini ijengwe kwa $86M tena huko Kenya ambapo 40% inaingia mifukoni mwa viongozi wenu, kabla haijawekwa zege itakua imeshaanguka kama kawaida yenu
 
wamama wanaishi cbd wamendea maji kwa mtoni wanarudi makwao....DAR IS SLUM
Capture.PNG
 
It took you ages to reply huh? Ina maana umeshinda Google ukitafuta hizo data na sasa umerudi na ushujaa baada ya kukosa such information.

You guys have a certain inferiority complex and it won't be solved through competition with your bigger brother. Kunywa kopo la maji ukitafakari hayo.
Duuu.. inferiority complex kwa watu wenye umasikini 43%, 3million people with no food, unemployment 48%, tribalism 95%?
 
SGR yenu imekamilika km ngapi?

Bagamoyo berths ni ngapi?

which other project is complete?

Lala kama huna jibu mwafaka on the above supported by photographic evidence.
Ninyi hamna sgr acha kujipa sifa za kijinga, ninyi mlijenga na kununua gari moshi la kizamani ambalo wachina walitujengea 1970,
 
Labda nikuulize swali kwani SGR ya kenya mlijenga kwa siku mbili??? Maanza tumeanza ujenzi hata miezi 6 haijaisha munaanza kutoa povu😀😀😀
View attachment 646153 View attachment 646154


Bagamoyo ujenzi unaendelea na 2020 inaanza kupokea meli na hapo ukumbuke dar port and mtwara port ziko under huge expansion
Hata hiyo reli yao ya kizamani bado ipo kwenya ujenzi, hadi sasa iliyokamilika ni hadi Nairobi, ina maana vipande bilivyobaki havijengwi?
 
Back
Top Bottom