Mfano ziara iko mbeya.. kwann wakiwa huko mbeya yasiandaliwa luxury makosta au hiace kwa ajili ya hao watu.. hata kama kila hiace moja itabeba watu watano.. mbona UK, marais akiwepo mmpiga mwingi nae alipandishwa kwenye hiace/coasterHaya mambo mnayakuza na mnayaongea kwa mihemko.
Hebu ngoja sasa tufanye calculation
* President is a head of state anatakiwa kulindwa kwa namna zote. Hili tunakubaliana sote
* Viongozi hawawezi kwenye msafara hawawezi kutembelea IST. Na hili tunakubaliana sote
* Je, Raisi anatakiwa kwenye msafari awe na Magari ya state house mangapi?
NGOJA TUFANYE HIVI: Hayo magari hayakuzidi 80.
1. State House Cars - 6
2. Police Cars - 4
3. Mawaziri - 10
4. Wakuu wa Mikoa na wa wilaya - 10
5. DED - 6
6. Viongozi wa Dini na NGO - 10
7. Wajumbe wa NEC CCM - 6
8. Wabunge - 10
9. Wakandalasi wa miradi mbalimbali - 10
10. Wadau na wakereketwa wa Chama - 20
Hebu piga hesabu hapo.
Bado sijawaweka maafisa wa Chama na Serikali. Bado sujawaweka waandishi wa habari.
Mzee unakuwa too emotional than using brain. Maria Sarungi anawalisha matango pori.
Hii imekuja kuwaliwazaKenyan SGR is more comfortable than any vessel of transport in Tanzania
View attachment 3045754
View attachment 3045755
Mfano ziara iko mbeya.. kwann wakiwa huko mbeya yasiandaliwa luxury makosta au hiace kwa ajili ya hao watu.. hata kama kila hiace moja itabeba watu watano.. mbona UK, marais akiwepo mmpiga mwingi nae alikuwemo kwenye hiace/coaster
1. State House Cars - suv 6 ✅
2. Police Cars - suv 4 ✅
3. Mawaziri - hiace 2 .. kila hiace mawaziri 5
4. Wakuu wa Mikoa na wa wilaya - hiace 2
5. DED - hiace 1
6. Viongozi wa Dini na NGO - hiace 1
7. Wajumbe wa NEC CCM - hiace 1
8. Wabunge - hiace 2
9. Wakandalasi wa miradi mbalimbali - hiace 2
10. Wadau na wakereketwa wa Chama - hiace 2
View attachment 3046856View attachment 3046857
Wakishatoka ziara, hizo zitawarudisha makao makuu ya mkoa kutawanyika au wengine yataendelea na ziara mikoa mengine
3. Mawaziri - hiace 2 .. kila hiace mawaziri 5
4. Wakuu wa Mikoa na wa wilaya - hiace 2
5. DED - hiace 1
6. Viongozi wa Dini na NGO - hiace 1
7. Wajumbe wa NEC CCM - hiace 1
8. Wabunge - hiace 2
9. Wakandalasi wa miradi mbalimbali - hiace 2
10. Wadau na wakereketwa wa Chama - hiace 2
Kwan ile hiace/coaster iliyopo kwenye msafara inafanya nn kama haiendi speed ya convoy?🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Haya ni mambo ambayo hayana uhalisia wowote. Hivi hiace inaweza kwenda na speed ya convoy?. Tuwe realistic japo kidogo
Halafu viongozi wa NEC unawaweka kwenye hiace?
Wakandalasi wa miradi mbalimbali wanakuwa na magari yao binafsi unawapangia usafiri wa kuendesha? Huu ni ukoloni sasa
Wadau na wakereketwa wa Chama hawa wanakuwa na magari yao binafsi unawapangia wanunue gari za namna gani? Seriously? Tunataka turudi enzi 1980s?
Viongozi wa Dini na NGO Wapo na magari yao hayahusiani na Serikali
Tafuta pesa mzee. Watu hapa bongo wapo na magari bhana
View: https://www.instagram.com/reel/C79Mt0OI4bE/?utm_source=ig_web_copy_link&igsh=MzRlODBiNWFlZA==
Hiyo siyo hiace/coaster ndugu yangu. Hiyo ni benzi tena imeagizwa toka kiwandani.Kwan ile hiace/coaster iliyopo kwenye msafara inafanya nn kama haiendi speed ya convoy?
Hujui hata unachoongea.. wew unaongelea convoy kwa kuona kweny video au barabaran. mim convoy nasafir nazo.. hata majuzi tulikuwa kigoma na VPHiyo siyo hiace/coaster ndugu yangu. Hiyo ni benzi tena imeagizwa toka kiwandani.
Ni nzito na inaweza kutembea 180km/h to 200km/h isiyumbe,
Weka hiace sasa kwenye 120km/h inaweza paa.
Convoy siyo mchezo.
Nitafute hela?Tafuta pesa mzee. Watu hapa bongo wapo na magari bhana
View: https://www.instagram.com/reel/C79Mt0OI4bE/?utm_source=ig_web_copy_link&igsh=MzRlODBiNWFlZA==
Umesafiri na Convoy!! una suggested mawaziri wawekwe kwenye hiace!!! moja 😱😱😱😱Hujui hata unachoongea.. wew unaongelea convoy kwa kuona kweny video au barabaran. mim convoy nasafir nazo.. hata majuzi tulikuwa kigoma na VP
This is not the issue ndugu yangu. Mimi nataka uweke justification yako ya kuwaweka viongozi wa serikali kwenye hiace moja.Nitafute hela?
Kitu gan unadhan siwez kukimudu au sina?
Panda convoy kwanza ndo utauona reality iliyopo, usilete hisiaUmesafiri na Convoy!! una suggested mawaziri wawekwe kwenye hiace!!! moja 😱😱😱😱
Au unaongelea Convoy za mjini?
Be realistic bhana. Halafu Rais anamuda mrefu hajafanya ziara maeneo hayo na tena ziara ya kukagua miradi.
Aisee!!! Wapi nimeonesha hisia. Mimi ninakueleza ukweli. Labda ongelea kitu kingine lakini issue ya kuwaweka kwenye hiace hii haina uhalisia wowote. Ni kuongea tu bila fact yoyote.Panda convoy kwanza ndo utauona reality iliyopo, usilete hisia
Presidential ConvoyPanda convoy kwanza ndo utauona reality iliyopo, usilete hisia
Hiv vitu sio vya kunifundisha.. wew ndo ujifunzePresidential Convoy
- Lead Car: This vehicle scouts the route ahead, watching for any potential threats or obstacles.
- Presidential Limousine: The car carrying the president, often heavily armored and equipped with various security features.
- Support/Backup Limousine: An additional vehicle that can serve as a decoy or backup in case of an emergency.
- Security Detail Vehicles: Typically, there are at least two SUVs or sedans carrying the president’s security detail (e.g., Secret Service agents).
- Communications Vehicle: A vehicle equipped with advanced communication equipment to ensure constant contact with other security teams and command centers.
- Medical Unit: An ambulance or a medical support vehicle equipped to handle medical emergencies.
- Press or Staff Vehicle: Sometimes included to transport members of the presidential staff or press.
- Police Escort: Local law enforcement vehicles help manage traffic and secure the route.
Safety first Ndio mengine yanakuja. Threats ni nyingi mno.Waku Simon and Venus Star kwenye huu mjadala wenu, nyote wawili mpo sahihi. Ila ni machaguzi tu sasa ya viongozi. Simon unazungumzia msafara uwe na magari ya kawaida kwa sababu za kibajeti (kubana matumizi) na venus wew unazungumzia upande wa kiusalama na hadhi za viongozi pamoja na wadau wa maendeleo wakati wa ziara. Nyie wote mpo sahihi wakuu sioni haja ya kukosoana.
Naona ujinga haukutoki, wacha nikuelimishe kidogo bongolala. Wakisema round off wanamaanisha keep it simpler by presenting it as the nearest significant number referenced. In this case, rounding off to the nearest hour he significant number reference is a full hour. Kwa hivo utaangalia hiyo figure iko kati ya which two full hours. Figure inayoongelewa ni 3:35, yani masaa matatu na dakika thelathini na tano. Hiyo figure iko katikati ya 3hrs na 4hrs lakini iko karibu na 4 hours zaidi (dakika 25) kuliko 3 hrs (dakika 35). Kwa hivo ukiround off 3:35 to the nearest hour unapata 4 hours. Nyie watu somo la hisibati liliwapita sana.Nimeone humu mkikosea vitu rahisi tilivyofunzwa shule ya msingi na mnajiita graduates. Masomo yenu duni sana.Acha upumbavu wewe time huwa rounded off to the nearest quarter hour or to the nearest 5 or 10 minutes. Elimu bure kabisa
MKenya akifundisha mtanzania mathematics, my ribs 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Naona ujinga haukutoki, wacha nikuelimishe kidogo bongolala. Wakisema round off wanamaanisha keep it simpler by presenting it as the nearest significant number referenced. In this case, rounding off to the nearest hour he significant number reference is a full hour. Kwa hivo utaangalia hiyo figure iko kati ya which two full hours. Figure inayoongelewa ni 3:35, yani masaa matatu na dakika thelathini na tano. Hiyo figure iko katikati ya 3hrs na 4hrs lakini iko karibu na 4 hours zaidi (dakika 25) kuliko 3 hrs (dakika 35). Kwa hivo ukiround off 3:35 to the nearest hour unapata 4 hours. Nyie watu somo la hisibati liliwapita sana.Nimeone humu mkikosea vitu rahisi tilivyofunzwa shule ya msingi na mnajiita graduates. Masomo yenu duni sana.
Bongo kuna threat gani hapa jamani!?Safety first Ndio mengine yanakuja. Threats ni nyingi mno.
Si umejipea kibarua.😂😂Naona ujinga haukutoki, wacha nikuelimishe kidogo bongolala. Wakisema round off wanamaanisha keep it simpler by presenting it as the nearest significant number referenced. In this case, rounding off to the nearest hour he significant number reference is a full hour. Kwa hivo utaangalia hiyo figure iko kati ya which two full hours. Figure inayoongelewa ni 3:35, yani masaa matatu na dakika thelathini na tano. Hiyo figure iko katikati ya 3hrs na 4hrs lakini iko karibu na 4 hours zaidi (dakika 25) kuliko 3 hrs (dakika 35). Kwa hivo ukiround off 3:35 to the nearest hour unapata 4 hours. Nyie watu somo la hisibati liliwapita sana.Nimeone humu mkikosea vitu rahisi tilivyofunzwa shule ya msingi na mnajiita graduates. Masomo yenu duni sana.